A new member

A new member

Jf sio kama facebook.. Huku wote ni viongozi wa serekalini kuanzia madiwani mpaka mawaziri..

Unamuona huyo Meeyah ni mkuu wa wilaya ya kisarawe

Mimi ni katibu kata wa Chinja chini..

Tunasema uweke namba zako kwaajili ya sababu za kiusalama na pia kukamilisha usajili wako
Yeah ni vizuri akasajiliwa ipasavyo. Ukarimu kwa wageni ndo jadi yetu
 
Waishi wapi?
Weka namba ya simu ili member wenzio wakujulie hali..
Pia uweke picha ukiwa umesimama

Hivi ndivyo hata jamii ya huku nje ( outside world) offline, (mtaani) jinsi inavyotumia ujinga wa mtu yeyote ama kwamba kwa kujinufaisha wenyewe au kuzifurahisha nafsi zao

ULIMWENGU WA SAMAKI MKUBWA ANAMLA MDOGO
 
Karibu sana nishakuandikia huko inbox umeona meseji
 
Hivi ndivyo hata jamii ya huku nje ( outside world) offline, (mtaani) jinsi inavyotumia ujinga wa mtu yeyote ama kwamba kwa kujinufaisha wenyewe au kuzifurahisha nafsi zao

ULIMWENGU WA SAMAKI MKUBWA ANAMLA MDOGO
Yeah for sure.. muacheni mrembo wetu ajimwage
 
Back
Top Bottom