A new member

Vipi nikikupa sweta lililoandikwa tanzania kwa kifuani utafurahi? Halafu vipi nikikupa 7800 utaweza kufika iringa?
Sijui kakuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jackline ndio jina lake halisi... We ulitaka tumuite kisasa?

Halafu unaweza jikuta unamfundisha kumbe mwenzako alijiunga Jf kabla ya Maxence melo ila kaamua tu kuja na ID mpya ili kujiweka karibu na mabaharia
Kweli. Acha mabaharia wamkarinishe. Wammege kisera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…