A night Kajiado's Governor closed the border btn Tanzania and Kenya, this happened

 
Hii Budalangi constituency iko ndani ya Busia county lakini constituencies zingine za Busia hazina mafuriko. Busia border yenyewe haina mafuriko geza. Hii constituency ya Budalangi imekuwa na shida ya mafuriko kuanzia zamani. Hata mwaka wa early 2000s, kulikuwa na mafuriko makubwa lakini yalipungua wakati dykes zilijengwa.
 
The road to Busia one stop border post! See floods in Budlangi? Isn't Budalangi in Busia?
Njia ya kuenda Busia border sio hio pekee. Kuna nyingine ya kupitia Kisumu. Pengine huko Tanzania kwa sababu ya umasikini ndio kuna njia moja tu kuenda Dar es Salaam.
 
Njia ya kuenda Busia border sio hio pekee. Kuna nyingine ya kupitia Kisumu. Pengine huko Tanzania kwa sababu ya umasikini ndio kuna njia moja tu kuenda Dar es Salaam.
Leta alternatives with weight limit above 40 tonnes! Stop arguing like illiterate!
 
Leta alternatives with weight limit above 40 tonnes! Stop arguing like illiterate!
Hata huyo Mkenya unayepost tweet yake anasema jambo ambalo nimekuwa nikisema kwamba kuna njia mbadala. Huyo Mkenya wa twitter anaambia watu watumie njia mbadala. Wewe kwa nini hutaki kuamini kuwa kuna njia mbadala? Kenya sio Tanzania ambako kuna njia moja tu ya kuelekea Dar.
 
Kuna aliyeshauri hapo juu kwamba JPM asiruhusu magari yapite Tanzania. Roho mbaya hiyo ya nini? Kwani Tanzania ikiruhusu hayo magari yapite kwetu, tutapata hasara gani? Leo yamewakuta Kenya. Kesho inaweza kuwa zamu yetu. Tusifanye roho mbaya hivyo na Mola atatupa thawabu.
 
But where does Sigiri bridge link?
Kama ungeanza kwa kuuliza maswali ya heshima kama haya basi ungejuzwa na ungefahamu mambo kitambo. Lakini wewe uliamua kujump into conclusion kwamba Kenya ina border moja na Uganda.
 

Jana governor wa Kajiado!

Governor Lenku finally closes Kajiado-Tanzania borders


Kajiado Governor Joseph ole Lenku (right) issues 15,000 masks, sanitisers and hand-washing detergents to residents of Loitoktok on Saturday. Photo/PD/CHRISTINE MUSA

Christine Musa

Kajiado county government has indefinitely closed its three border entry points to Tanzania to avert a possible spread of coronavirus from the neighbouring country.

Governor Joseph ole Lenku said the entry points at Namanga, Loitoktok and Shompole pose a threat to the fight to tame deadly virus because too many illegal immigrants from Tanzania are entering Kenya through them.

Kenya also shares border crossing points with Tanzania—whose Covid-19 infections now stand at 480 with 16 reported deaths at Lunga Lunga, Isebenia, Taita Taveta and Holili.

However, Tanzania has been accused of taking a lacklustre approach in the fight against deadly respiratory flu, with reports that President John Magufuli was considering restarting the Tanzania Premier League matches after a six-week break.

Yesterday, Magufuli whose government has been criticised for being secretive and dismissive on pandemic and has previously asked Tanzanians to pray the coronavirus away, said the figures of positive are questionable, claiming the testing kits had “technical errors”.

He said the kits had returned positive results on samples taken from a goat and a pawpaw.

In mid March, the country closed all schools and extended a ban on public gatherings including schools, football leagues, sports, music events, political meetings and community events.

And on Saturday, Tanzania’s leading opposition party called for the suspension of Parliament after three legislators died from unknown causes in the past 11 days.

Augustine Mahiga, Tanzania’s minister for Constitution and Legal Affairs died on Friday with no official explanation over his death. The others are Getrude Rwakatare and Richard Ndassa.

And speaking at Tarakea Loitoktok yesterday, Lenku also directed the suspension of trading between residents of the two neighbouring East Africa Community states.

“Tens of people are using panya routes to enter our country and specifically Kajiado county. We cannot allow any compromise on issues of our health,” said Lenku.

He stressed that despite the existing EAC bilateral trade links that allow free movement of people across the two countries, the county cannot allow further trade.

He further banned livestock trade, which see thousands of cattle from Tanzania make their way to Ilbisil market and Shompole markets every market day.

“We understand the directive will have adverse economic effects to all of us but we better struggle to revive an ailing economy than lose lives through ignorance,” said Lenku.

He also urged security officers manning the border points to observe stringent measures of ensuring only essential services trucks enter the country.

The governor further wants truck drivers delivering food stuff warned against making stopovers along the way and having the drivers escorted to places of offloading and back to their country.

Lenku has urged Kenyans to also stop movement to Tanzania warning that they are exposed to high risks of Covid-19 since Tanzania has not put safety measures to fight the virus.

Small-scale trade between the neighbouring countries have been going on in the wake of Covid-19 and free movement of people to and from Kajiado.

On the other foreigners are said to have been using the illegal routes to enter the country.

Governor Lenku finally closes Kajiado-Tanzania borders
 
Kama ungeanza kwa kuuliza maswali ya heshima kama haya basi ungejuzwa na ungefahamu mambo kitambo. Lakini wewe uliamua kujump into conclusion kwamba Kenya ina border moja na Uganda.
I don't need to ask I can read maps! Aside that ur media knows better than individuals in here! I indicated options remaining! Yes Kisumu can be accessed from Naivasha but beyond that the risk is big!

 
But where does Sigiri bridge link? And how many rivers do u see? I see Nzoia and Yala!



I don't need to ask i can read maps! Aside that ur media knows better than individuals in here! I indicated options remaining! Yes Kisumu can be accessed from Naivasha but beyond that the risk is big!
Nope. Kisumu to Busia has no risk. There are two corridors. One corridor is prone to flooding the one is not. Sigiri brigde iko huo upande wa Budalangi ambapo kuna floods. Kuna corridor ya Kisumu ambayo haina na haijawahi kuwa na floods. Upande wa Kisumu hata sidhani kama ina bridge nyingi. Huwa naenda Busia kupitia Kisumu na hii area haina bridge nyingi. Upande wa Kisumu ni dry, hakuna mvua sana kama upande huo mwingine.
 
Kisumu-Nairobi highway!


Nguluni Machakos

Busia town

Turkana
 
Maana mtu ambaye ana akili hua anadadisi Mambo habwabwaji tu maneno ukielezwa halafu unabisha ni ishara ya upungufu wako Kia Akili.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ssisi tunajadili hiyo habari iliyotangazwa na TV yenu, wewe unataka Mimi ndio ni jibu maswali yatokanayo na habari iliyoletwa na waandishi wenu wa habari, huo ni upumbavu wa hali ya juu.

Ntv walipotoa habari potofu kuhusu Magufuli, walitakiwa kurekebisha makosa na kuomba msamaha kutokana na upotoshaji ule. Wewe ulipiswa kuwashutumu hao waliorusha hiyo habari na kuwaambia warekebishe, sio kutuambia sisi tukuamini wewe, wacha ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A nice comprehensive reporting. Probably now motor vehicles heading towards Burundi, DR Congo, Uganda and Rwanda have to use a deviation route through Taveta, Holili into Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…