Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

Mshana Jr MEKO YUPO MSATA LEO. HUJAMSOGELEA KARIBU UONE ANAONGEA NN? NASIKIA ANAKUWAGA NA SPEECH MBILI.MOJA NI YA KUSHINDA NA YA PILI KUSHINDWA.
 
Sijaongea kuhusu kuchagua chama hapa. Nimeongea kuhusu mashekhe wa uamshi ambao ndio kura turufu inayotumika
Kwanini hao wako ndani? Atawatoa kwa vigezo gani?
Kwa katiba yetu swala la mtu kuwa ndani au nje linategemea maamuzi ya mamlaka kwa kiasi kikubwa , baby seya alifungwa na ametolewa jela kimasihara tu ,
 
Unaambiwa wamechanganyikiwa hadi kufika JK na polepole kugombea mic bagamoyo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ