A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

Pamoja na umasikini, lakini kila familia husherekea sikukuu
 
Hii sio Tanzania,Tanzania,shule za serekali,uniform zao ni blue na nyeupe,sio nyekundu na,nyeupe.
 
Mkapa aliposema lazima ndege ya Rais inunukiwe hata mkila nyasi unategemea nini?

Pili ni nani amewahi maliza au hata kupunguza matatizo ya 🇹🇿 licha ya kutonujua ndege ya Rais au bila kununua goli la mama kwa mil.5?
 
Hii shule naifahamu ipo Bukavu Ku-Zaiiii
 
African leaders have a curse.
Bado tupo kwenye evolutionary process kuwa binadamu kamili karne ijayo, kiongozi wa bongo anazaliwa na kukua akiishi na mbuzi chumba kimoja akisoma jalalani siku anapewa madaraka anatumia pesa ya umma millioni 600 kununua gari keshasahau baba zake na ng'ombe zao kule alipokua anakunywa maji machafu na nyani, kisa anaishi Dar na kawa boss.
 
Kuna magari ya gharama kwaajili ya kampeni yameshatua. Kuna viongozi na wale (......) wanapewa nyumba za Serikali huko. Madudu ni mengi. Halafu kuna mwananchi wa hali ya chini, asiyefikiwa na huduma za kijamii. Kama tu kusoma ili atoe ujinga anaanza na hivi.

Tuombe sana Mungu, tuje kupata Raisi wa Wananchi, mwenye kujali watu wote, yaani hiyo hali inatosha kwa bajeti hata 2 tu. Kuna fedha nyingi hubaki mawizarani, hazirudi huwa wanagawana zingeenda huko, watu wabinafsi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…