Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na umasikini, lakini kila familia husherekea sikukuuAngalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!
View attachment 3232843
Tatizo watanzania hawajawahi kuyaona maisha tofauti na haya wanayo ishia sasa hivyo ili wabadilike wanahitaji waonje maisha tofauti na hayaHiyo hali itaendelea kuwa hivyo Tz kwa miaka mingi mbele hakuna kitakachobadilika sana.
Wazazi wa hao watoto wenyewe wanaona sawa tu, sasa unategemea nini?
Hii sio Tanzania,Tanzania,shule za serekali,uniform zao ni blue na nyeupe,sio nyekundu na,nyeupe.Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!
View attachment 3232843
Hii sio Tanzania,uniform za Tanzania ni blue na nyeupe,sio nyekundu na nyeupe.Insikitisha sana, Ila hio picha sio TZ
Watoto wanacheza.Ni kawaida ya watoto kucheza
Mkapa aliposema lazima ndege ya Rais inunukiwe hata mkila nyasi unategemea nini?Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!
View attachment 3232843
Hii shule naifahamu ipo Bukavu Ku-ZaiiiiAngalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!
View attachment 3232843
Sio Mkapa aliye sema maneno hayo ni waziri MrambaMkapa aliposema lazima ndege ya Rais inunukiwe hata mkila nyasi unategemea nini?
Pili ni nani amewahi maliza au hata kupunguza matatizo ya 🇹🇿 licha ya kutonujua ndege ya Rais au bila kununua goli la mama kwa mil.5?
si kweli iko hpa TZHii shule naifahamu ipo Bukavu Ku-Zaiiii
Wakila mbegu za asili bila gmo miaka 900Wakiishi sana ni miaka 80
Bado tupo kwenye evolutionary process kuwa binadamu kamili karne ijayo, kiongozi wa bongo anazaliwa na kukua akiishi na mbuzi chumba kimoja akisoma jalalani siku anapewa madaraka anatumia pesa ya umma millioni 600 kununua gari keshasahau baba zake na ng'ombe zao kule alipokua anakunywa maji machafu na nyani, kisa anaishi Dar na kawa boss.African leaders have a curse.
Mstaafu na mambo ya shule wapi na wapi.si kweli iko hpa TZ