A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

Kuna magari ya gharama kwaajili ya kampeni yameshatua. Kuna viongozi na wale (......) wanapewa nyumba za Serikali huko. Madudu ni mengi. Halafu kuna mwananchi wa hali ya chini, asiyefikiwa na huduma za kijamii. Kama tu kusoma ili atoe ujinga anaanza na hivi.

Tuombe sana Mungu, tuje kupata Raisi wa Wananchi, mwenye kujali watu wote, yaani hiyo hali inatosha kwa bajeti hata 2 tu. Kuna fedha nyingi hubaki mawizarani, hazirudi huwa wanagawana zingeenda huko, watu wabinafsi sana.
wanasema eti mama anaupiga mwingi
 
Aombwe "mhishimiwa" Luca Mbubujiko Mwashambwa kwa "hishma na twaadhima" aje kutoa utetezi wake.
Lucas Mwashambwa amepata kibarua siku hizi ndiyo maana haonekani humu, njaa ndiyo ilikuwa inamtoa ufahamu, hivi sasa ana like tu haandiki ujinga ujinga kazi ya kuandika upuuzi amemuachia kapuku mwingine Malaria 2
 
Hiyo hali itaendelea kuwa hivyo Tz kwa miaka mingi mbele hakuna kitakachobadilika sana.

Wazazi wa hao watoto wenyewe wanaona sawa tu, sasa unategemea nini?
Hili umesema kweli kabisa
Wazazi hata sadaka hawajui wanasubiri serikali isiyowajali
Miti imejaa hapo na udongo upo
Kwani wakijenga wao shida iko wapi?
Haya matatizo kama unavyosema hayataisha miaka na miaka sasa hata kuwaza kuwa wanaoteseka ni watoto wao hakuna
Najua kuna mtu atapinga ila ndio uhalisia bila kufanya umoja wataumia sana
 
Mkapa aliposema lazima ndege ya Rais inunukiwe hata mkila nyasi unategemea nini?

Pili ni nani amewahi maliza au hata kupunguza matatizo ya 🇹🇿 licha ya kutonujua ndege ya Rais au bila kununua goli la mama kwa mil.5?
Na huo ndio mtazamo wa viongozi wetu kuamini kuwa hayo matatizo hayawezi kuisha yataendelea kuwepo tu, kwa kuwa na fikra kama hizo ni kweli tutaendelea kuwa na hayo matatizo pasina kuisha maana ndio tuaminivyo. Na ndio tunapata jibu kwa nini inawezekana kununua magoli kwa milion 5 hali ya kuwa kuna mambo ya msingi sana na yenye kuhitaji pesa.
 
Na huo ndio mtazamo wa viongozi wetu kuamini kuwa hayo matatizo hayawezi kuisha yataendelea kuwepo tu, kwa kuwa na fikra kama hizo ni kweli tutaendelea kuwa na hayo matatizo pasina kuisha maana ndio tuaminivyo. Na ndio tunapata jibu kwa nini inawezekana kununua magoli kwa milion 5 hali ya kuwa kuna mambo ya msingi sana na yenye kuhitaji pesa.
Hakuna ubaya wowote kuhamamisha sekta ambayo imeajiri watu wengi kwa.mil.5.

Sekta ya Michezo na burudani ni muhimu sana na inaongoza Fedha za Kigeni na kutoa Ajira.

Kishamiri ndio Tutapata hela za kutatua hizo Changamoto za madarasa nk
 
We jamaa unapenda kuokoteza picha na kila siku ukiambiwa mbishi balaa, jifunze hata kutumia Google lens Aibu ndogo ndogo kama hizi zitakuepuka.

Hio picha ni Kenya na sio Tanzania,

Ganze MP: I am not to blame for the flooded classroom

Tanzania Hatuvai hizo Uniform,

Hii video Citizen Kenya wakireport kama taarifa ya Habari,


View: https://www.youtube.com/watch?v=ETlNgJd90RU

Imetajwa nchi gani? nani kasema ni tanzania? read between lines......pili, Unajuaje kama siyo AI modified video?

Bottomline, hata kama hiyo siyo ya tanzania, tunazo shule nyingi za hivyo! Nyingi tu!
 
"Let us all agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
1739174639625 (1).png

 
Imetajwa nchi gani? nani kasema ni tanzania? read between lines......pili, Unajuaje kama siyo AI modified video?
Imerepotiwa na citizen kituo cha tv Kenya Toka 2019, nimekuekea na video, it's up to you, amini ama jitoe ufahamu.

Na watu kibao wamekurekebisha unasema ni hapa hapa Nchini maana yake ni nini? Ama wewe sio Mtanzania?
 
Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!

Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!

Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!

View attachment 3232843
Mada nyingine ya kipuuzi kutoka kwa mtanzania mwenye uwezo mdogo sana wa kufanya tathmini ya kile kinachofanyika kwa maslahi ya watanzania wengi.

Ndege inawezesha biashara za kimataifa kuweza kufanyika, hao wanaokalia mawe mashuleni ni watoto wa wakulima wanaosafirisha matikiti maji na bidhaa nyingine kwenda nje ya nchi kwa kutumia ndege, sijui kama unao uwezo wa kuoanisha ndege na wazazi wa hao watoto!.

Milioni 5 za goli moja kwa kulinganisha na mabilioni yanayokusanywa na TRA kila siku, ni sawa na glasi moja ya maji inayomwagwa ndani ya bahari ya Hindi.

Kuza kwanza uelewa wako kabla ya kuja na mada za kipuuzi kama hii ya kwako.
 
Tafuta pia zile picha za majengo mazuri yanayojengwa kama uyoga siku za karibuni. Punguza mindset ya kinyonge ya kujiona kila baya ni la kwako, hizi akili mzungu alijua kuzitumia katika kuendeleza kututawala.

Divide and Rule inatokana na akili hizi hizi za kilofa za kuangalia mabaya tu bila ya kuutazama ukweli kwamba yapo mengi sana yanayofanywa na awamu ya sita ndani ya muda huu.
 
Back
Top Bottom