Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanasema eti mama anaupiga mwingiKuna magari ya gharama kwaajili ya kampeni yameshatua. Kuna viongozi na wale (......) wanapewa nyumba za Serikali huko. Madudu ni mengi. Halafu kuna mwananchi wa hali ya chini, asiyefikiwa na huduma za kijamii. Kama tu kusoma ili atoe ujinga anaanza na hivi.
Tuombe sana Mungu, tuje kupata Raisi wa Wananchi, mwenye kujali watu wote, yaani hiyo hali inatosha kwa bajeti hata 2 tu. Kuna fedha nyingi hubaki mawizarani, hazirudi huwa wanagawana zingeenda huko, watu wabinafsi sana.
Cc Lucas Mwashambwa na Mama yako aliyekufikiaAombwe "mhishimiwa" Luca Mbubujiko Mwashambwa kwa "hishma na twaadhima" aje kutoa utetezi wake.
🥺Usiniudhi, picha gani si ya tz! Hayo madarasa?Insikitisha sana, Ila hio picha sio TZ
Lucas Mwashambwa amepata kibarua siku hizi ndiyo maana haonekani humu, njaa ndiyo ilikuwa inamtoa ufahamu, hivi sasa ana like tu haandiki ujinga ujinga kazi ya kuandika upuuzi amemuachia kapuku mwingine Malaria 2Aombwe "mhishimiwa" Luca Mbubujiko Mwashambwa kwa "hishma na twaadhima" aje kutoa utetezi wake.
Hili umesema kweli kabisaHiyo hali itaendelea kuwa hivyo Tz kwa miaka mingi mbele hakuna kitakachobadilika sana.
Wazazi wa hao watoto wenyewe wanaona sawa tu, sasa unategemea nini?
Huyu shetani sahivi ni VEO yupo busy snAombwe "mhishimiwa" Luca Mbubujiko Mwashambwa kwa "hishma na twaadhima" aje kutoa utetezi wake.
Na huo ndio mtazamo wa viongozi wetu kuamini kuwa hayo matatizo hayawezi kuisha yataendelea kuwepo tu, kwa kuwa na fikra kama hizo ni kweli tutaendelea kuwa na hayo matatizo pasina kuisha maana ndio tuaminivyo. Na ndio tunapata jibu kwa nini inawezekana kununua magoli kwa milion 5 hali ya kuwa kuna mambo ya msingi sana na yenye kuhitaji pesa.Mkapa aliposema lazima ndege ya Rais inunukiwe hata mkila nyasi unategemea nini?
Pili ni nani amewahi maliza au hata kupunguza matatizo ya 🇹🇿 licha ya kutonujua ndege ya Rais au bila kununua goli la mama kwa mil.5?
Wapiga kura wa ccm au waibiwa kura na ccm?Wazizi wa watoto hao ndio wapiga kura wazuri wa sisiem sasa tutawasaidiaje.
Hakuna ubaya wowote kuhamamisha sekta ambayo imeajiri watu wengi kwa.mil.5.Na huo ndio mtazamo wa viongozi wetu kuamini kuwa hayo matatizo hayawezi kuisha yataendelea kuwepo tu, kwa kuwa na fikra kama hizo ni kweli tutaendelea kuwa na hayo matatizo pasina kuisha maana ndio tuaminivyo. Na ndio tunapata jibu kwa nini inawezekana kununua magoli kwa milion 5 hali ya kuwa kuna mambo ya msingi sana na yenye kuhitaji pesa.
We jamaa unapenda kuokoteza picha na kila siku ukiambiwa mbishi balaa, jifunze hata kutumia Google lens Aibu ndogo ndogo kama hizi zitakuepuka.ni za hapa
We jamaa unapenda kuokoteza picha na kila siku ukiambiwa mbishi balaa, jifunze hata kutumia Google lens Aibu ndogo ndogo kama hizi zitakuepuka.
Hio picha ni Kenya na sio Tanzania,
Ganze MP: I am not to blame for the flooded classroom
Tanzania Hatuvai hizo Uniform,
Hii video Citizen Kenya wakireport kama taarifa ya Habari,
View: https://www.youtube.com/watch?v=ETlNgJd90RU
"Let us all agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Imerepotiwa na citizen kituo cha tv Kenya Toka 2019, nimekuekea na video, it's up to you, amini ama jitoe ufahamu.Imetajwa nchi gani? nani kasema ni tanzania? read between lines......pili, Unajuaje kama siyo AI modified video?
Mada nyingine ya kipuuzi kutoka kwa mtanzania mwenye uwezo mdogo sana wa kufanya tathmini ya kile kinachofanyika kwa maslahi ya watanzania wengi.Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna mwenye nia mbaya na taifa ltu ni kutaka kukumbushana wajibu na si kuwa machawa!
Naamini kama siyo uchawa, wapambe "nuksi" wakamweleza kwa utulivu kuwa Mh Rais achana na hili la magoli, Rais angeliweza kutenda vema!
View attachment 3232843
Tafuta pia zile picha za majengo mazuri yanayojengwa kama uyoga siku za karibuni. Punguza mindset ya kinyonge ya kujiona kila baya ni la kwako, hizi akili mzungu alijua kuzitumia katika kuendeleza kututawala.
Wazungu hawatuiti nyani kwa sababu ya rangi ya ngozi yetu, wanatuita nyani kwa sababu ya matendo na maamuzi yetu.Sisi hatuna tofauti na nyani kabisa tena tukiita nyani na wazungu tuitike haraka sn
Ni kweli ninyi wachochezi...ndiyo maana hamjaweka jina la shule, Kijiji, Kata , wilaya Hata Mkoa kueleza ilipo hiyo shule. Na kwamba hii picha imepigwa lini?sisi wachochezi...