secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Vyovyote vile, lakini hawaoneshi reaction yoyote dhidi ya ccmWapiga kura wa ccm au waibiwa kura na ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyovyote vile, lakini hawaoneshi reaction yoyote dhidi ya ccmWapiga kura wa ccm au waibiwa kura na ccm?
Nani aliyesema kwamba changamoto za hiyo sekta ni kukosa uhamasishaji na tena uhamasishaji huo wa kutoa pesa?Hakuna ubaya wowote kuhamamisha sekta ambayo imeajiri watu wengi kwa.mil.5.
Sekta ya Michezo na burudani ni muhimu sana na inaongoza Fedha za Kigeni na kutoa Ajira.
Kishamiri ndio Tutapata hela za kutatua hizo Changamoto za madarasa nk
Tuulizane ukweli mkuu, ulitaka wafanye nini kuonyesha reaction yao? Ni kwamba waje wakujadili na kutoa maoni yao humu JF kama tunavyofanya sisi hapa?Vyovyote vile, lakini hawaoneshi reaction yoyote dhidi ya ccm
Pesa inaongea zaidi ya empty wordsNani aliyesema kwamba changamoto za hiyo sekta ni kukosa uhamasishaji na tena uhamasishaji huo wa kutoa pesa?
Mafanikio gani yaliyopatikana kwa huo uhamasishaji wa kununua magoli hadi sasa?
Amini nakwambia hizo changamoto zitaendelea kuwepo kwa sababu kichwani mwa viongozi wameweka fikra za kwamba changamoto kama hizo haziishi, kwahiyo hata hela zikiongezeka tutaendelea kushuhudia zikitumika zaidi kwa mambo yasio na msingi kama kununua magari ya gharama zaidi, kuwalipa wake wa wastaafu n.k
Kibaya zaidi tunatumia nguvu kubwa sana kusifu kidogo kinachofanywa kuliko kuwekeza nguvu kubwa kwenye kupunguza zaidi changamoto kubwa tulizonazo.
Kabisa hatuna tofauti na nyani, nyani ana mikono lakini anashindwa hata kujenga nyumba ake mwenye na miti anayo yakutosha na kila kitu kimemzunguka, ndiyo sisi sisi tumezungukwa na kila aina ya rasilimali hapa duniani lakini hatuna akili ya kuzitumia.Wazungu hawatuiti nyani kwa sababu ya rangi ya ngozi yetu, wanatuita nyani kwa sababu ya matendo na maamuzi yetu.
Waamue katika sanduku la kura na wasidanganyike kirahisi, kwa mfano mwaka huu ni wa uchaguzi basi wabunge watarudi kwenye majimbo yao na kuwapikia wananchi pilau, watawanunulia vijana mipira ya bei chee, basi wananchi kwenye majimbo wanasahau mabaya yanayofanywa na wawakilishi wao na kuwachagu tena na tena.Tuulizane ukweli mkuu, ulitaka wafanye nini kuonyesha reaction yao? Ni kwamba waje wakujadili na kutoa maoni yao humu JF kama tunavyofanya sisi hapa?
Sasa Mil 5 ya kununua goli ndio useme pesa inaongea zaidi au tunapoteza tu pesa zaidi? Haya niambie toka aanze kununua hayo magoli kimeongezeka nini kwenye soka?Pesa inaongea zaidi ya empty words