A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

A right thinking Leader of a country unaweza kulipia kila goli 5M, kununua ndege ya Rais etc wakati una madarasa mabovu kwa watoto wa taifa lako?

Hakuna ubaya wowote kuhamamisha sekta ambayo imeajiri watu wengi kwa.mil.5.

Sekta ya Michezo na burudani ni muhimu sana na inaongoza Fedha za Kigeni na kutoa Ajira.

Kishamiri ndio Tutapata hela za kutatua hizo Changamoto za madarasa nk
Nani aliyesema kwamba changamoto za hiyo sekta ni kukosa uhamasishaji na tena uhamasishaji huo wa kutoa pesa?
Mafanikio gani yaliyopatikana kwa huo uhamasishaji wa kununua magoli hadi sasa?

Amini nakwambia hizo changamoto zitaendelea kuwepo kwa sababu kichwani mwa viongozi wameweka fikra za kwamba changamoto kama hizo haziishi, kwahiyo hata hela zikiongezeka tutaendelea kushuhudia zikitumika zaidi kwa mambo yasio na msingi kama kununua magari ya gharama zaidi, kuwalipa wake wa wastaafu n.k

Kibaya zaidi tunatumia nguvu kubwa sana kusifu kidogo kinachofanywa kuliko kuwekeza nguvu kubwa kwenye kupunguza zaidi changamoto kubwa tulizonazo.
 
Pesa inaongea zaidi ya empty words
 
Wazungu hawatuiti nyani kwa sababu ya rangi ya ngozi yetu, wanatuita nyani kwa sababu ya matendo na maamuzi yetu.
Kabisa hatuna tofauti na nyani, nyani ana mikono lakini anashindwa hata kujenga nyumba ake mwenye na miti anayo yakutosha na kila kitu kimemzunguka, ndiyo sisi sisi tumezungukwa na kila aina ya rasilimali hapa duniani lakini hatuna akili ya kuzitumia.
 
Tuulizane ukweli mkuu, ulitaka wafanye nini kuonyesha reaction yao? Ni kwamba waje wakujadili na kutoa maoni yao humu JF kama tunavyofanya sisi hapa?
Waamue katika sanduku la kura na wasidanganyike kirahisi, kwa mfano mwaka huu ni wa uchaguzi basi wabunge watarudi kwenye majimbo yao na kuwapikia wananchi pilau, watawanunulia vijana mipira ya bei chee, basi wananchi kwenye majimbo wanasahau mabaya yanayofanywa na wawakilishi wao na kuwachagu tena na tena.
Wakati mwingine huwa najiuliza iwapo watanzania wana kumbukumbu ama la.
 
Back
Top Bottom