A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Kwani Pasco halambi? John Pombe Maharage alisema Mayala ni njaa,huenda aliandika wakati njaa imepanda kichwani.
 
Kwani Pasco halambi? John Pombe Maharage alisema Mayala ni njaa,huenda aliandika wakati njaa imepanda kichwani.
Harambi kitu.

Kati ya waandishi unaowafaham wewe na wapo hapa JF hebu nitajie mmoja ambaye wiki haipiti ni kulalamikana ajira tuuuu...!
 
Wewe wacha uongo.

Kiti moto mwenyewe mastermind Alioki na yeye ndiye alienda ughaibuni.


Huu ulioandika ni uongo mtupu.
 
Ubaya/ uzuri wa KARMA Ni kwamba huwezi kufa kabla haijakukuta.

Na ipo applicable kila mahali.Iwe kwenye mapenzi, biashara e.t.c

Atypical example
👇
1955: Arsenal 8- 2 Manchester United
2011: Manchester United 8- 2 Arsenal
 
Wewe wacha uongo.

Kiti moto mwenyewe mastermind Alioki na yeye ndiye alienda ughaibuni.


Huu ulioandika ni uongo mtupu.
Kiukweli baadhi ya sisi binadamu ni watu wa ajabu sana!. Mimi ni mmoja wao, nimetokeo tuu kukupenda wewe mwanamke na sijui nakupendea nini?. Kila siku unanitukana tuu humu lakini kitu cha ajabu ni ninakupenda tuu, kama kwenu ni Tanga au Zanzibar, basi utakuwa umeniloga, au usikute ni mimi ndio nilijiloga enzi zangu zile za peke peke maana mitaa ya gerezani ni ...usipime!.

Ni kweli kipindi cha Kiti Moto ni mali ya Masai Studio na mwanzilishi ni Ali Oki ila talk shows zote credits ni kwa host na sio owner!.

Hii story ni ya 1995, nimekitaja tuu kitimoto kwasababu ya umaarufu wake, in actual fact kipindi hicho Kiti Moto kilikuwa bado hakijaanza, mimi nimeanza na talk show ya Mada Moto ndipo nikaja Kiti Moto!.

Mtafute Ali akuhadithie ndiye aliye niendesha siku ya harusi yangu, na tulitoka ukumbuni straight to airport, honeymoon London!. Kisha nikaenda US na kuhamia humo kabla Ali na Meb hawajahamia Canada!.

Pamoja na kuniita kote muongo mtupu lakini bado nakupenda tuu!. Kulogwa kubaya!. Tena you look aged, but to me, age ain't nothing, but a number!.
Luv U FaizaFoxy
P
 
Acha blackmail.kama umefeli interview we sema tu mjomba paskali,usitupange
Mkuu Joannah, sisi waandishi wa habari pia tuna specialization zetu, mimi nime specialize kwenye interviewing hivyo interview niliifumua pale pale utadhani maswali nilitunga mimi!.

Kwa vile tuko 187, kuna possibility wakawemo watu wazuri zaidi yangu hivyo nisipopita mimi nakuwa nimeshindwa tuu kihalali kabisa, ila CCM na EALA inakuwa imekosa mmoja wa wawakilishi wazuri wa type yangu. Pia kwa vile hatujui waliopitishwa, then you never know kuna watu wazuri, mimi ni cha mtoto!.
P
 
Pole ,P,mrembo wa mshapu hata lipiza na itakuwa ni darasa zuri zaidi Kwa wote hata wa awamu 5🚶
 
Pole ,P,mrembo wa mshapu hata lipiza na itakuwa ni darasa zuri zaidi Kwa wote hata wa awamu 5🚶
Kiukweli alivyonifuata na kunikumbusha, nimejisikia mdogo kama piriton!, sura ikanishuka kwa aibu!. Kuna kitu ambacho Mungu amewajalia wanawake sisi wamaume hatuna!. Roho na moyo wa kusamehe!. Nikizifikiria kesi za offside tricks na mipira ya kona, mechi za ugenini na mashoot ya magoli ya nje ambayo wife wangu amesamehe ni mengi, akaenda masomoni US for zile masters za 4 years, alipomaliza na mimi kusikia tuu just one mistake, once!, nikashindwa kusamehe. Ikitokea nimepita, then ni huyu mama!.

Usikute hata nilivyomtenda, was part and parcel of premeditated moves nimtende, Mungu amuinue aje anifundishe!. Kuna kitu kama hiki niliwahi kukisema humu kumhusu Yuda Eskariote The Role of Yuda Eskarioti Kwenye Ukombozi wa Dunia: Je, Yuda alaumiwe, alaaniwe au apongezwe?!
P
 
Sawa mjomba, Kama Ni hivyo mimi Kama mpwa wako nikutakie kila lenye kheri unaposubiri majibu yako,kikubwa umejua makosa yako huo Ni uungwana tosha.
 
Kaka unaongoza kwa head title ndefu hapo bado habari yenyewe.uwe unasimplify.
 
wewe jamaa ni mshamba mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…