Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
ThawaOh, kumbe !!
Basi vizuri kwa kuwa umemsamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThawaOh, kumbe !!
Basi vizuri kwa kuwa umemsamehe
Kwani Pasco halambi? John Pombe Maharage alisema Mayala ni njaa,huenda aliandika wakati njaa imepanda kichwani.Paskali, nikwambie kitu ndg, tena ni marudio sababu niliwahi kukwambia hapo nyuma, sidhani kama kukosa nafasi yeyote ya ajira ni kwa sababu ya ngekewa, nyota nk.
Kuna wakati mfumo wa maisha yetu na hasa ulichokiandika hapa ndicho kinatuharibia future yetu, (repeated) mara kadhaa waandishi huwa wanajisahau sana wakidhani wapo juu ya kila kitu, hata tasnia nyingine, tunapaswa kutambua serikali ni serikali tu, mfano unapopigika nowadays haujui kama unafanyiwa ila unaona kama ni kawaida tu.
They can do any to you!.
Shangaa waandishi wangapi unawapita ujuzi, elimu nk but wanakula bata na maisha yanasonga wewe kila siku unalamba garasa!.
Harambi kitu.Kwani Pasco halambi? John Pombe Maharage alisema Mayala ni njaa,huenda aliandika wakati njaa imepanda kichwani.
Wewe wacha uongo.Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.
Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za ng'ambo zikiwemo za UN, naendesha kipindi cha Kiti Moto, siogopi mtu!, sina heshima, sina adabu, sina nidhamu!, baadhi ya maswali yangu yalikuwa so provocative hadi baadhi ya viongozi wa serikali wakawa wananiogopa!, Hivyo nikavimba bichwa hilo nikajiona mimi ndiyo mimi, sioni, sisikii wala mtu haniambii kitu. Kila kinachokatiza mbele ya macho yangu halali yangu!.
Siku moja nikiwa nchi fulani, nikafuatwa na mtu mmoja raia wa nchi hiyo, baada ya kuelezwa kuna ujumbe wa watanzania. Basi huyo jamaa akatafuta mwanahabari akanimegea info tip ya issue fulani kumhusu mdada fulani mrembo wa Tanzania mwanasiasa kijana al maaruf enzi hizo akitaka iripotiwe kwenye vyombo vya habari.
Sisi waandishi sometimes tunakuwa vimbelembele sana, ukipata habari mbaya ya mtu maarufu ama unakimbilia kuilipua na sisi pia ni binadamu au unampenyezea mhusika na kumtishia kumlipua ili 'akuone', asipokuona una mlipua. Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!
Mimi kurejea nchini, nikamtafuta mwanasiasa huyu mrembo ili nimbananishe ili angalau na mimi... si unajua tena mambo ya ujana!
Bi dada akakana taarifa hizo kuwa sii za kweli ni uzushi wa uongo, huyu mtu anamzushia tuu. Mimi sikumuamini bi dada na kwa hoja moja tuu, why her?
Nika amua kumtishia kumlipua kwenye media kama vipi 'tuzungumze' tuelewane nipotezee kwa kukauka na kukausha. Bi dada akagoma katakata kufanya 'mazungumzo yale' kwa hoja kuwa ni uongo na uzushi, na mimi naendelea kumuaminia source wangu alichoniambia ni ukweli mtupu!.
Mimi na bi dada tukashindwa kufikia any compromise, hivyo nikamlipua kwa kuiandika story na kuiripoti na ikatoka, watu wa magazeti nao waka i pick from TV nakuishikia kidedea, ika trend kama wildfire na usually bad news spread faster!.
Issue ilipojulikana, wenye kazi zao nao wakaingia kazini kuifuatilia na kilichofuata bi dada moto ulimuwakia akawekwa pending pembeni kupisha uchunguzi. Kwa muda huo mimi wala sikujali what happened to her. Kumbe baadae issue ikwisha she was cleared hivyo bi dada akaendelea na kazi kwa kupanda vyeo sasa ni bosi mkubwa!.
Na mimi kwa upande wangu umaarufu wangu wa kipindi cha Kiti Moto ulikuja kuisha, kipindi kilipigwa marufuku kutokana na kuwabananisha viongozi na kuwalipua. Nikaja kuacha kazi na kutimkia zangu ughaibuni.
Mwaka 2000 nikarejea Bongo nikajiunga TBC sikudumu nikakumbana na mabalaa chungu tele, mara kukimbiwa na mke, mara kupata ajali mbaya na ku paralyze, kumbe ni malipo ya accumulation ya karma za matendo yangu ya nyuma, tutendeni mema jameni, ukitenda ubaya wowote, malipo ni hapa hapa duniani!.
Sasa leo, niko mkoa fulani kwenye lile jambo letu lile, leo ndio interview!. nimelikamilisha vizuri kuhojiwa, nimejibu maswali yote vizuri kwa ufasaha bila kubabaika, nikiwa na furaha tele na matumaini chanya kwasababu niko vizuri kwenye kujieleza, uzoefu umesimama, shule imepanda, kwa sifa tuu, uwezo na vigezo kiukweli kabisa sijifagilii, ninavyo na niko vizuri, ila unaweza kukuta kwenye watu 186 wazuri wako 40 na wengine ni wazuri zaidi yako nafasi zenyewe ni 6, kati ya 6 hizo, nafasi 3 ni za wanawake!, hivyo mijiba 100 mnagombea nafasi 3!, kati ya tatu hizo moja ni ya Zanzibar!, mtu ukikosa utalalamika?.
Nimetoka chumba cha interview na furaha yangu, kabla sijafika nje ya ukumbi naitwa nimeambiwa subiri. Mara namuona mama mtu mzima kidogo, na mshepu ambaye ndiye katibu wa ile kamati ya interview, ananisalimia kwa majina yangu yote mawili huku ana smile, "unanikumbuka?"
Nikamwangalia trying to recall nimemuona wapi, sikukumbuki but the face looks bit familiar.
Nikamjibu sikumbuki naomba unikumbushe, akanitajia "mimi ni fulani bin fulani, umenikumbuka?"
Duh.m! Nilipigwa na a shock ya mwaka
of my life! Kumbe yule bidada niliyemlipua mwaka 1995, miaka 27 iliyopita, sasa ndiye boss wa interview yangu!.
"Interview umefanya vizuri nikaona nije kukusalimia tuu na kukumbusha ili unikumbuke ulichonifanyia!. Nenda salama mimi ngoja nirudi kwenye kikao"
Ghafla mwili uliingia baridi kama barafu nili freeze, nikataka kuishiwa nguvu na kuanguka, miguu imeingia ganzi ghafla haiwezi kuubeba mwili, nikaegemea ukuta nisianguke.
Mmama huyo kageuza kurudi ndani!, anatembea taratibu with confidence huku nikikodolea mshepu kwa nyuma nikibaki sina hili wala lile!. Kwa sekunde kadhaa nilibaki mdomo wazi na adrenalin rush sauti imenikauka, macho yamenitoka kama nakabwa nimeona jini!, huku mwanga ukififia naona giza. Napata kama kizunguzungu!.
Nikaambaa ambaa huku nimeshika ukuta hadi kwenye viti vya karibu nikakaa na kuvuta pumzi kwa nguvu kama umeachiwa baada ya kukabwa nataka kushindwa kupumua.
Just tell me, in such a situation, kuna kusubiria tena majibu positive ya lile jambo letu?!. Tena nikivuta picha kukumbuka when she was begging me, nisimlipue, tears dropped on her dimples cheeks, she almost cried!. She insisted if it was true, she would have done anything that I ask but it was not true!.
Lessons
Hii shock of my life niliyokutana nayo leo, na furaha yangu kugeuka shubiri, imenifunza lile somo la be good to people on your way up, you might meet them on your way down!. Usijisikie wewe ndio wewe wakati ukiwa juu na kuwatenda wengine kuwadharau, kuwaonea, kuwalipua, na kuwatesa, huijui kesho yako utakutana nao wapi wewe ukiwa nani na wao wakiwa nani!.
Yule mdada mrembo niliyemlipua kwenye media enzi hizo mimi ni mimi, leo yeye ndio boss anayetakiwa kutia tick jina langu lisonge mbele, na mimi leo ndio a beggar begging for her mercy!.
Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea hata kama ni sifa na vigezo na niko among the top aspirants, msiponiona jina langu kusonga mbele, mjue sio upungufu wa sifa, bali the cause ni mimi mwenyewe na karma reprisals hit back za matendo yangu ya nyuma on what goes around, comes around!.
Kwa vile mimi yamenikuta, naomba niwe darasa kwa wengine, always be humble na kuwatendea mema watu wote, heshima watu wote wakubwa na wadogo na usidharau watu. Wadogo wa leo ndio wakubwa wa kesho!.
Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada kwenye media wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top!.
Karma is real na majuto ni mjukuu!.
We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba sana unisamehe kwa yote nilio kutendea.
Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!
Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.
Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni tayari nimejikubali nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.
Naahidi kuwa mtu mwema zaidi sasa na yale mazuri yote ninayoitendea nchi yangu, hata bila uteuzi nitaendelea kuyatenda na kuwa raia mwema wa JMT
Mungu nisaidie.
Amen.
Paskali.
banj ana mshepu?Sio Rosa banji kwelii?
itakuwa mboni mhita maana ana mzigo sio poaHoyce temu au mwanukuzi?
Kiukweli baadhi ya sisi binadamu ni watu wa ajabu sana!. Mimi ni mmoja wao, nimetokeo tuu kukupenda wewe mwanamke na sijui nakupendea nini?. Kila siku unanitukana tuu humu lakini kitu cha ajabu ni ninakupenda tuu, kama kwenu ni Tanga au Zanzibar, basi utakuwa umeniloga, au usikute ni mimi ndio nilijiloga enzi zangu zile za peke peke maana mitaa ya gerezani ni ...usipime!.Wewe wacha uongo.
Kiti moto mwenyewe mastermind Alioki na yeye ndiye alienda ughaibuni.
Huu ulioandika ni uongo mtupu.
Shikamoo JFSHYROSE BHANJI TUNAKUITA HUKU
Mkuu Joannah, sisi waandishi wa habari pia tuna specialization zetu, mimi nime specialize kwenye interviewing hivyo interview niliifumua pale pale utadhani maswali nilitunga mimi!.Acha blackmail.kama umefeli interview we sema tu mjomba paskali,usitupange
Pole ,P,mrembo wa mshapu hata lipiza na itakuwa ni darasa zuri zaidi Kwa wote hata wa awamu 5🚶Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.
Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za ng'ambo zikiwemo za UN, naendesha kipindi cha Kiti Moto, siogopi mtu!, sina heshima, sina adabu, sina nidhamu!, baadhi ya maswali yangu yalikuwa so provocative hadi baadhi ya viongozi wa serikali wakawa wananiogopa!, Hivyo nikavimba bichwa hilo nikajiona mimi ndiyo mimi, sioni, sisikii wala mtu haniambii kitu. Kila kinachokatiza mbele ya macho yangu halali yangu!.
Siku moja nikiwa nchi fulani, nikafuatwa na mtu mmoja raia wa nchi hiyo, baada ya kuelezwa kuna ujumbe wa watanzania. Basi huyo jamaa akatafuta mwanahabari akanimegea info tip ya issue fulani kumhusu mdada fulani mrembo wa Tanzania mwanasiasa kijana al maaruf enzi hizo akitaka iripotiwe kwenye vyombo vya habari.
Sisi waandishi sometimes tunakuwa vimbelembele sana, ukipata habari mbaya ya mtu maarufu ama unakimbilia kuilipua na sisi pia ni binadamu au unampenyezea mhusika na kumtishia kumlipua ili 'akuone', asipokuona una mlipua. Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!
Mimi kurejea nchini, nikamtafuta mwanasiasa huyu mrembo ili nimbananishe ili angalau na mimi... si unajua tena mambo ya ujana!
Bi dada akakana taarifa hizo kuwa sii za kweli ni uzushi wa uongo, huyu mtu anamzushia tuu. Mimi sikumuamini bi dada na kwa hoja moja tuu, why her?
Nika amua kumtishia kumlipua kwenye media kama vipi 'tuzungumze' tuelewane nipotezee kwa kukauka na kukausha. Bi dada akagoma katakata kufanya 'mazungumzo yale' kwa hoja kuwa ni uongo na uzushi, na mimi naendelea kumuaminia source wangu alichoniambia ni ukweli mtupu!.
Mimi na bi dada tukashindwa kufikia any compromise, hivyo nikamlipua kwa kuiandika story na kuiripoti na ikatoka, watu wa magazeti nao waka i pick from TV nakuishikia kidedea, ika trend kama wildfire na usually bad news spread faster!.
Issue ilipojulikana, wenye kazi zao nao wakaingia kazini kuifuatilia na kilichofuata bi dada moto ulimuwakia akawekwa pending pembeni kupisha uchunguzi. Kwa muda huo mimi wala sikujali what happened to her. Kumbe baadae issue ikwisha she was cleared hivyo bi dada akaendelea na kazi kwa kupanda vyeo sasa ni bosi mkubwa!.
Na mimi kwa upande wangu umaarufu wangu wa kipindi cha Kiti Moto ulikuja kuisha, kipindi kilipigwa marufuku kutokana na kuwabananisha viongozi na kuwalipua. Nikaja kuacha kazi na kutimkia zangu ughaibuni.
Mwaka 2000 nikarejea Bongo nikajiunga TBC sikudumu nikakumbana na mabalaa chungu tele, mara kukimbiwa na mke, mara kupata ajali mbaya na ku paralyze, kumbe ni malipo ya accumulation ya karma za matendo yangu ya nyuma, tutendeni mema jameni, ukitenda ubaya wowote, malipo ni hapa hapa duniani!.
Sasa leo, niko mkoa fulani kwenye lile jambo letu lile, leo ndio interview!. nimelikamilisha vizuri kuhojiwa, nimejibu maswali yote vizuri kwa ufasaha bila kubabaika, nikiwa na furaha tele na matumaini chanya kwasababu niko vizuri kwenye kujieleza, uzoefu umesimama, shule imepanda, kwa sifa tuu, uwezo na vigezo kiukweli kabisa sijifagilii, ninavyo na niko vizuri, ila unaweza kukuta kwenye watu 186 wazuri wako 40 na wengine ni wazuri zaidi yako nafasi zenyewe ni 6, kati ya 6 hizo, nafasi 3 ni za wanawake!, hivyo mijiba 100 mnagombea nafasi 3!, kati ya tatu hizo moja ni ya Zanzibar!, mtu ukikosa utalalamika?.
Nimetoka chumba cha interview na furaha yangu, kabla sijafika nje ya ukumbi naitwa nimeambiwa subiri. Mara namuona mama mtu mzima kidogo, na mshepu ambaye ndiye katibu wa ile kamati ya interview, ananisalimia kwa majina yangu yote mawili huku ana smile, "unanikumbuka?"
Nikamwangalia trying to recall nimemuona wapi, sikukumbuki but the face looks bit familiar.
Nikamjibu sikumbuki naomba unikumbushe, akanitajia "mimi ni fulani bin fulani, umenikumbuka?"
Duh.m! Nilipigwa na a shock ya mwaka
of my life! Kumbe yule bidada niliyemlipua mwaka 1995, miaka 27 iliyopita, sasa ndiye boss wa interview yangu!.
"Interview umefanya vizuri nikaona nije kukusalimia tuu na kukumbusha ili unikumbuke ulichonifanyia!. Nenda salama mimi ngoja nirudi kwenye kikao"
Ghafla mwili uliingia baridi kama barafu nili freeze, nikataka kuishiwa nguvu na kuanguka, miguu imeingia ganzi ghafla haiwezi kuubeba mwili, nikaegemea ukuta nisianguke.
Mmama huyo kageuza kurudi ndani!, anatembea taratibu with confidence huku nikikodolea mshepu kwa nyuma nikibaki sina hili wala lile!. Kwa sekunde kadhaa nilibaki mdomo wazi na adrenalin rush sauti imenikauka, macho yamenitoka kama nakabwa nimeona jini!, huku mwanga ukififia naona giza. Napata kama kizunguzungu!.
Nikaambaa ambaa huku nimeshika ukuta hadi kwenye viti vya karibu nikakaa na kuvuta pumzi kwa nguvu kama umeachiwa baada ya kukabwa nataka kushindwa kupumua.
Just tell me, in such a situation, kuna kusubiria tena majibu positive ya lile jambo letu?!. Tena nikivuta picha kukumbuka when she was begging me, nisimlipue, tears dropped on her dimples cheeks, she almost cried!. She insisted if it was true, she would have done anything that I ask but it was not true!.
Lessons
Hii shock of my life niliyokutana nayo leo, na furaha yangu kugeuka shubiri, imenifunza lile somo la be good to people on your way up, you might meet them on your way down!. Usijisikie wewe ndio wewe wakati ukiwa juu na kuwatenda wengine kuwadharau, kuwaonea, kuwalipua, na kuwatesa, huijui kesho yako utakutana nao wapi wewe ukiwa nani na wao wakiwa nani!.
Yule mdada mrembo niliyemlipua kwenye media enzi hizo mimi ni mimi, leo yeye ndio boss anayetakiwa kutia tick jina langu lisonge mbele, na mimi leo ndio a beggar begging for her mercy!.
Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea hata kama ni sifa na vigezo na niko among the top aspirants, msiponiona jina langu kusonga mbele, mjue sio upungufu wa sifa, bali the cause ni mimi mwenyewe na karma reprisals hit back za matendo yangu ya nyuma on what goes around, comes around!.
Kwa vile mimi yamenikuta, naomba niwe darasa kwa wengine, always be humble na kuwatendea mema watu wote, heshima watu wote wakubwa na wadogo na usidharau watu. Wadogo wa leo ndio wakubwa wa kesho!.
Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada kwenye media wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top!.
Karma is real na majuto ni mjukuu!.
We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba sana unisamehe kwa yote nilio kutendea.
Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!
Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.
Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni tayari nimejikubali nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.
Naahidi kuwa mtu mwema zaidi sasa na yale mazuri yote ninayoitendea nchi yangu, hata bila uteuzi nitaendelea kuyatenda na kuwa raia mwema wa JMT
Mungu nisaidie.
Amen.
Paskali.
Kiukweli alivyonifuata na kunikumbusha, nimejisikia mdogo kama piriton!, sura ikanishuka kwa aibu!. Kuna kitu ambacho Mungu amewajalia wanawake sisi wamaume hatuna!. Roho na moyo wa kusamehe!. Nikizifikiria kesi za offside tricks na mipira ya kona, mechi za ugenini na mashoot ya magoli ya nje ambayo wife wangu amesamehe ni mengi, akaenda masomoni US for zile masters za 4 years, alipomaliza na mimi kusikia tuu just one mistake, once!, nikashindwa kusamehe. Ikitokea nimepita, then ni huyu mama!.Pole ,P,mrembo wa mshapu hata lipiza na itakuwa ni darasa zuri zaidi Kwa wote hata wa awamu 5🚶
Sawa mjomba, Kama Ni hivyo mimi Kama mpwa wako nikutakie kila lenye kheri unaposubiri majibu yako,kikubwa umejua makosa yako huo Ni uungwana tosha.Mkuu Joannah, sisi waandishi wa habari pia tuna specialization zetu, mimi nime specialize kwenye interviewing hivyo interview niliifumua pale pale utadhani maswali nilitunga mimi!.
Kwa vile tuko 187, kuna possibility wakawemo watu wazuri zaidi yangu hivyo nisipopita mimi nakuwa nimeshindwa tuu kihalali kabisa, ila CCM na EALA inakuwa imekosa mmoja wa wawakilishi wazuri wa type yangu. Pia kwa vile hatujui waliopitishwa, then you never know kuna watu wazuri, mimi ni cha mtoto!.
P
Asante mjomba.Sawa mjomba, Kama Ni hivyo mimi Kama mpwa wako nikutakie kila lenye kheri unaposubiri majibu yako,kikubwa umejua makosa yako huo Ni uungwana tosha.
Kaka unaongoza kwa head title ndefu hapo bado habari yenyewe.uwe unasimplify.Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.
Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za ng'ambo zikiwemo za UN, naendesha kipindi cha Kiti Moto, siogopi mtu!, sina heshima, sina adabu, sina nidhamu!, baadhi ya maswali yangu yalikuwa so provocative hadi baadhi ya viongozi wa serikali wakawa wananiogopa!, Hivyo nikavimba bichwa hilo nikajiona mimi ndiyo mimi, sioni, sisikii wala mtu haniambii kitu. Kila kinachokatiza mbele ya macho yangu halali yangu!.
Siku moja nikiwa nchi fulani, nikafuatwa na mtu mmoja raia wa nchi hiyo, baada ya kuelezwa kuna ujumbe wa watanzania. Basi huyo jamaa akatafuta mwanahabari akanimegea info tip ya issue fulani kumhusu mdada fulani mrembo wa Tanzania mwanasiasa kijana al maaruf enzi hizo akitaka iripotiwe kwenye vyombo vya habari.
Sisi waandishi sometimes tunakuwa vimbelembele sana, ukipata habari mbaya ya mtu maarufu ama unakimbilia kuilipua na sisi pia ni binadamu au unampenyezea mhusika na kumtishia kumlipua ili 'akuone', asipokuona una mlipua. Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!
Mimi kurejea nchini, nikamtafuta mwanasiasa huyu mrembo ili nimbananishe ili angalau na mimi... si unajua tena mambo ya ujana!
Bi dada akakana taarifa hizo kuwa sii za kweli ni uzushi wa uongo, huyu mtu anamzushia tuu. Mimi sikumuamini bi dada na kwa hoja moja tuu, why her?
Nika amua kumtishia kumlipua kwenye media kama vipi 'tuzungumze' tuelewane nipotezee kwa kukauka na kukausha. Bi dada akagoma katakata kufanya 'mazungumzo yale' kwa hoja kuwa ni uongo na uzushi, na mimi naendelea kumuaminia source wangu alichoniambia ni ukweli mtupu!.
Mimi na bi dada tukashindwa kufikia any compromise, hivyo nikamlipua kwa kuiandika story na kuiripoti na ikatoka, watu wa magazeti nao waka i pick from TV nakuishikia kidedea, ika trend kama wildfire na usually bad news spread faster!.
Issue ilipojulikana, wenye kazi zao nao wakaingia kazini kuifuatilia na kilichofuata bi dada moto ulimuwakia akawekwa pending pembeni kupisha uchunguzi. Kwa muda huo mimi wala sikujali what happened to her. Kumbe baadae issue ikwisha she was cleared hivyo bi dada akaendelea na kazi kwa kupanda vyeo sasa ni bosi mkubwa!.
Na mimi kwa upande wangu umaarufu wangu wa kipindi cha Kiti Moto ulikuja kuisha, kipindi kilipigwa marufuku kutokana na kuwabananisha viongozi na kuwalipua. Nikaja kuacha kazi na kutimkia zangu ughaibuni.
Mwaka 2000 nikarejea Bongo nikajiunga TBC sikudumu nikakumbana na mabalaa chungu tele, mara kukimbiwa na mke, mara kupata ajali mbaya na ku paralyze, kumbe ni malipo ya accumulation ya karma za matendo yangu ya nyuma, tutendeni mema jameni, ukitenda ubaya wowote, malipo ni hapa hapa duniani!.
Sasa leo, niko mkoa fulani kwenye lile jambo letu lile, leo ndio interview!. nimelikamilisha vizuri kuhojiwa, nimejibu maswali yote vizuri kwa ufasaha bila kubabaika, nikiwa na furaha tele na matumaini chanya kwasababu niko vizuri kwenye kujieleza, uzoefu umesimama, shule imepanda, kwa sifa tuu, uwezo na vigezo kiukweli kabisa sijifagilii, ninavyo na niko vizuri, ila unaweza kukuta kwenye watu 186 wazuri wako 40 na wengine ni wazuri zaidi yako nafasi zenyewe ni 6, kati ya 6 hizo, nafasi 3 ni za wanawake!, hivyo mijiba 100 mnagombea nafasi 3!, kati ya tatu hizo moja ni ya Zanzibar!, mtu ukikosa utalalamika?.
Nimetoka chumba cha interview na furaha yangu, kabla sijafika nje ya ukumbi naitwa nimeambiwa subiri. Mara namuona mama mtu mzima kidogo, na mshepu ambaye ndiye katibu wa ile kamati ya interview, ananisalimia kwa majina yangu yote mawili huku ana smile, "unanikumbuka?"
Nikamwangalia trying to recall nimemuona wapi, sikukumbuki but the face looks bit familiar.
Nikamjibu sikumbuki naomba unikumbushe, akanitajia "mimi ni fulani bin fulani, umenikumbuka?"
Duh.m! Nilipigwa na a shock ya mwaka
of my life! Kumbe yule bidada niliyemlipua mwaka 1995, miaka 27 iliyopita, sasa ndiye boss wa interview yangu!.
"Interview umefanya vizuri nikaona nije kukusalimia tuu na kukumbusha ili unikumbuke ulichonifanyia!. Nenda salama mimi ngoja nirudi kwenye kikao"
Ghafla mwili uliingia baridi kama barafu nili freeze, nikataka kuishiwa nguvu na kuanguka, miguu imeingia ganzi ghafla haiwezi kuubeba mwili, nikaegemea ukuta nisianguke.
Mmama huyo kageuza kurudi ndani!, anatembea taratibu with confidence huku nikikodolea mshepu kwa nyuma nikibaki sina hili wala lile!. Kwa sekunde kadhaa nilibaki mdomo wazi na adrenalin rush sauti imenikauka, macho yamenitoka kama nakabwa nimeona jini!, huku mwanga ukififia naona giza. Napata kama kizunguzungu!.
Nikaambaa ambaa huku nimeshika ukuta hadi kwenye viti vya karibu nikakaa na kuvuta pumzi kwa nguvu kama umeachiwa baada ya kukabwa nataka kushindwa kupumua.
Just tell me, in such a situation, kuna kusubiria tena majibu positive ya lile jambo letu?!. Tena nikivuta picha kukumbuka when she was begging me, nisimlipue, tears dropped on her dimples cheeks, she almost cried!. She insisted if it was true, she would have done anything that I ask but it was not true!.
Lessons
Hii shock of my life niliyokutana nayo leo, na furaha yangu kugeuka shubiri, imenifunza lile somo la be good to people on your way up, you might meet them on your way down!. Usijisikie wewe ndio wewe wakati ukiwa juu na kuwatenda wengine kuwadharau, kuwaonea, kuwalipua, na kuwatesa, huijui kesho yako utakutana nao wapi wewe ukiwa nani na wao wakiwa nani!.
Yule mdada mrembo niliyemlipua kwenye media enzi hizo mimi ni mimi, leo yeye ndio boss anayetakiwa kutia tick jina langu lisonge mbele, na mimi leo ndio a beggar begging for her mercy!.
Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea hata kama ni sifa na vigezo na niko among the top aspirants, msiponiona jina langu kusonga mbele, mjue sio upungufu wa sifa, bali the cause ni mimi mwenyewe na karma reprisals hit back za matendo yangu ya nyuma on what goes around, comes around!.
Kwa vile mimi yamenikuta, naomba niwe darasa kwa wengine, always be humble na kuwatendea mema watu wote, heshima watu wote wakubwa na wadogo na usidharau watu. Wadogo wa leo ndio wakubwa wa kesho!.
Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada kwenye media wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top!.
Karma is real na majuto ni mjukuu!.
We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba sana unisamehe kwa yote nilio kutendea.
Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!
Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.
Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni tayari nimejikubali nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.
Naahidi kuwa mtu mwema zaidi sasa na yale mazuri yote ninayoitendea nchi yangu, hata bila uteuzi nitaendelea kuyatenda na kuwa raia mwema wa JMT
Mungu nisaidie.
Amen.
Paskali.
wewe jamaa ni mshamba mno.Wanabodi