A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Sioni sababu kwake kukutendea baya, lakini kwa tabia za wanawake wengi.....

Japo ulikiweka kibarua chake hatarini kwa kumlipua, lakini bahati nzuri hakukutwa na hatia, hivyo anaendelea na kazi yake, na bahati nzuri kwake yupo juu zaidi.

Kwangu naona hicho alichofanya kuja mbele yako na kukukumbusha yeye ni nani kinatosha, adhabu aliyokuachia ya majonzi, majuto, kuvuja jasho mpaka miguu kukulegea mwanaume mzima inatosha, the rest awaachie wahusika wafanye kazi yao, na hata kama naye ni mmojawao, asitumie tukio lenu lililopita ili kukuchinjia baharini atakuwa anakosea.

Maandiko yanasema visasi sio kazi ya mwanadamu, ni kazi ya Mungu; zaidi tunatakiwa kusamehe saba mara sabini, muhimu kwake ni kuishi kwa amani, na ninaamini hiyo amani anayo, basi asikusababishie wewe majonzi atakuwa anamkosea Mungu, hii dunia tunapita tu, vyema wote tutende mema bila kuangalia sura ya mtu, historia yake kwako, au vyovyote vingine.

NB.

Baada ya matokeo yenu kutoka, ikitokea umeshindwa usiamini sababu ya kushindwa kwako ni huyo dada uliyewahi kumkosea, kufanya hivyo utaishi kwa hofu kwamba wapo wasiolupenda. Amini umeshindwa kwa sababu nyingine usonge mbele, usimkumbuke mtu wala matukio yaliyopita, maintain your status alwayz smile.
 
Paskali ulitakiwa palepale umalizane naye umuombe msamaha kisha usepe haijalishi kama kazi husika ungetoboa ama vipi, kuja kuombea msamaha humu ni kujidhalilisha , na mara nyingi much know wengi kama wewe huishia sehemu mbaya saaana na ngumu .What goes around comes around.
 
"Samehe Saba mara Sabini" Vitabu vya Mungu Vinasema
Lakini kaka kama huyu mama alirejea kwenye kikao baada ya kuzungumza na wewe sidhani kama Aliona ujumbe wako kwake juu ya msamaha ya mambo yaliyotokea huko nyuma.
Ila kwa upande wingine tumejifunza kitu kizuri kupitia mapito yako Kwa imani kabisa utachaguliwa kwa maana umetuhakikishia kupafom well katika usaili huo.
Mungu Akubariki sana
 
Umekiri kuwa u muongo.

Once a liar always a liar.

Wewe mjanja wako ni marehem Kibonde. Wadanganye wengine.
 
Wewe mjanja wako ni marehem Kibonde. Wadanganye wengine.
Mwache marehemu apumzike kwa amani!. Mimi niko Tambaza dogo yuko primary Muhimbili tunatumia playground moja!, leo ndio aje awe mjanja wangu?!. Ungesema Meb labda!. Hivi unajua kuwa uandishi wangu wa habari na utangazaji ni wa kwenda shule na sio wa kuokotezwa mitaani?. Nimeanzia RTD 5 good years ndio nikaja DTV ile 1995!.
P
 
 
Wajameni msishangae kuona watu wako macho usiku mkubwa hivi, today is the third day consecutive of sleepless night kusubiria matokeo ya hili jambo letu!.
Mungu nisaidie!.
P
 
Interview ya nini tena Paskali siumeitwa Dodoma
Mkuu World light , Dodoma ndio kila kitu!, this time sio kuitwa Dodoma kuhojiwa na kamati ya Bunge kama hapa Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge this time ni kuhojiwa na chama kwanini ninafaa kuwa mbunge wa EALA. Kabla sijaitwa kuhojiwa na Kamati hii ya Bunge, Pasco alikuwa ni ropo ropo!. Nilipotoka kwenye mahojiano haya, I come out a completely changed person. Jee uliwahi kusikia chochote kilichojiri kwenye mahojiano hayo, au matokeo ya mahojiano haya , huu ndio uthibisho huyu Pasco wa sasa ni a coplete changed person, ni mtu mwenye kabah!.
P
 
Kaka unajua hadi sasa hujabadilika tofauti pekee kwasasa huna pesa ndefu. Respectfully.
 
Kaka unajua hadi sasa hujabadilika tofauti pekee kwasasa huna pesa ndefu. Respectfully.
Mkuu WILE, kwanza ni kweli money blinds, mtu aliyekuwa na B kwenye account yake akitembelea Mercedes Benz E Class akienda vocation London, Paris na New York, pesa ikija kukata sasa atembelea dala dala, msosi anakula Feri, mtu kama huyu ana change, hata akija kushika tena pesa, he will never be the same again!.
That is me!.
Niombee tuu hili jambo langu liwe then utashuhudia!.
P
 
Paskali hapa hujaomba msamaha.
Mkuu James Comey, nimeomba msamaha, ila kiukweli ma strategists kama nyinyi mnahitajika sana hapa nchini ili mtumie uwezo wenu huo kulisaidia taifa.
Hapa umemtisha tena huyo mtu kuwa akikukata basi ni yale ya miaka 27 iliyopita hivyo asikukate na yeye akutetee ili kuonesha yale yaliisha.
Mfa maji haishi kutapatapa, ukijikuta umetupwa baharini na hujui kuogelea, sasa katika kutapatapa ili usizame, hata ukiona chelewa inaelea, utaikimbilia ili kuishika ukidhani itakuokoa!. Hapo sijatumia blackmail bali nimeweka tuu caveat, tukio lile lisitumike kuniadhibu sasa. Nikikatwa nikatwe kwa mengine ikiwemo kuzidiwa sifa na hao wengine 186!.
Pia, umeweka tension ya watu kutaka kujua kilichotokea miaka 27 nyuma.
No tension yoyote, ila nikijadiliwa na kikao, wajumbe wakinikata kuwa huyu jamaa hatufai, Bidada atanikingia kifua nisikatwe, maana nikikatwa, mimi nitadhania ni yeye!. Mchawi mpe mwanao akulele, atakuwa salama!.
Anyway, wanaweza kukukata kwa ground tu wewe nu mropokaji hasa ktk mitandao. Ni mind gemu nzuri umemchezesha iwapo atasoma hapa kabla hajafanya maamuzi Kila la kheri.
Its true mimi ni mropokaji katika mitandao ila siku hizi nimebadilika sana, sio mropokaji wa kila kitu, kuna vitu very strategic for national security yetu nilikuwa navijua na ningeviropoka vingekuwa very damaging to some people kama, ile tabia mbaya ya ku lipua lipua watu kwenye media due to info tip sasa nimeisha achana nayo na mfano hai ni ile siku napata info tip hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli by this time, already I had a certain info tip fulani ya mtu huyu kutoka kwa Mkuu britanicca , hiyo info tip niliizungumza tuu humo
Just imagine kama ningekuwa ni yule Pasco wa Kiti Moto, nikaziweka hizo sababu, could you imagine ingekuwaje?!.

Huyu Pascal Mayalla wa sasa, japo bado ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, kwanza ameachana na kuandika habari za kiuchunguzi, Investigative Journalism (IJ) na kujikita kwenye Developmental Journalism (DJ), pili akikutana na damaging info tip, anatumia objectivity zaidi kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Hivyo sasa wajemeni mimi ni a completely changed person!, nisihukumiwe au kuadhibiwa kwa makosa yangu ya zamani bali nihukumiwe kwa mawazo, maneno na matendo yangu ya sasa, kama nilivyo shauri hapa Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP! tukianza kuhukumiana kwa mawazo, maneno, matendo na makosa ya nyuma..., nani atasimama?!
P
 
Kwani si ulitoa habari ambayo ni sahihi shida ni pale ulipoanza kwa kwenda kuomba kupumzika nae, subiria na yeye anaweza akaomba kitu kutoka kwako.
Na hata ukipata nafasi bado utapata wakati mgumu kufanya kazi na yeye akiwemo humo
 
Tukirudi kwenye tukio la huyo dada, kama ni muungwana, ameshakua mtu mzima na bila shaka HEKIMA na busara xitatumikavkuonyesha ukomavu.

Atakufanyia wema kuonyesha Yuko matured. Usihofu sana
Mkuu The Monk, kiukweli kabisa, hata alivyonifuata, you could read her eyes, alikuja with motherly love kuwa huyu jamaa alikuwa mtoto at foolish age, hakujua atendalo!, hivyo hata ikitokea mimi nikapita, itakuwa ni huyu mama!.
Let's keep our fingers crossed
halafu japo mwanzo nilitaka to take advantage, kiukweli kabisa sasa ... naomba nisiendelee maana udhaifu mwingine!, haunaga age wala maturity!, you are weak!, you are just weak!.
P
 

Huko kwenye udhaifu ni matatizo yetu tunapambana nayo kama wanaume. Kimsingi tukio la baada ya usaili lisikuvunje moyo na kukukosesha amani. Chukulia kama SoMo tu kwenye maisha. Kikubwa usitafute endelea kutulia Hadi majibu yatakapotoka. Hapo ndio ikitokea nafasi, unaweza kumsaka Kwa ajili ya kuweka mambo sawa kwamba enzi zile ilikua ujana na mambo ya kazi, hivyo myaache na kuyaweka pembeni maisha yaendelee. Lakini ikitokea hiyo nafasi ya kuomba radhi udhibiti udhaifu...ajue ni genuine lengo ni kujutia yaliyotokea huko nyuma, moyo wake uachilie machungu uliyomsababishia enzi hizo.

Bado nna Imani jambo letu linaweza kukamilika Kwa furaha Kaka.
 
Amen, Amen!, and when sorting the scores, you never know her status now!, ... ikitokea!, hakuna mbaya!, after all kwa baadhi yetu, age ain't nothing!, but a number!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…