A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Sioni sababu kwake kukutendea baya, lakini kwa tabia za wanawake wengi.....

Japo ulikiweka kibarua chake hatarini kwa kumlipua, lakini bahati nzuri hakukutwa na hatia, hivyo anaendelea na kazi yake, na bahati nzuri kwake yupo juu zaidi.

Kwangu naona hicho alichofanya kuja mbele yako na kukukumbusha yeye ni nani kinatosha, adhabu aliyokuachia ya majonzi, majuto, kuvuja jasho mpaka miguu kukulegea mwanaume mzima inatosha, the rest awaachie wahusika wafanye kazi yao, na hata kama naye ni mmojawao, asitumie tukio lenu lililopita ili kukuchinjia baharini atakuwa anakosea.

Maandiko yanasema visasi sio kazi ya mwanadamu, ni kazi ya Mungu; zaidi tunatakiwa kusamehe saba mara sabini, muhimu kwake ni kuishi kwa amani, na ninaamini hiyo amani anayo, basi asikusababishie wewe majonzi atakuwa anamkosea Mungu, hii dunia tunapita tu, vyema wote tutende mema bila kuangalia sura ya mtu, historia yake kwako, au vyovyote vingine.

NB.

Baada ya matokeo yenu kutoka, ikitokea umeshindwa usiamini sababu ya kushindwa kwako ni huyo dada uliyewahi kumkosea, kufanya hivyo utaishi kwa hofu kwamba wapo wasiolupenda. Amini umeshindwa kwa sababu nyingine usonge mbele, usimkumbuke mtu wala matukio yaliyopita, maintain your status alwayz smile.
 
Paskali ulitakiwa palepale umalizane naye umuombe msamaha kisha usepe haijalishi kama kazi husika ungetoboa ama vipi, kuja kuombea msamaha humu ni kujidhalilisha , na mara nyingi much know wengi kama wewe huishia sehemu mbaya saaana na ngumu .What goes around comes around.
 
"Samehe Saba mara Sabini" Vitabu vya Mungu Vinasema
Lakini kaka kama huyu mama alirejea kwenye kikao baada ya kuzungumza na wewe sidhani kama Aliona ujumbe wako kwake juu ya msamaha ya mambo yaliyotokea huko nyuma.
Ila kwa upande wingine tumejifunza kitu kizuri kupitia mapito yako Kwa imani kabisa utachaguliwa kwa maana umetuhakikishia kupafom well katika usaili huo.
Mungu Akubariki sana
 
Kiukweli baadhi ya sisi binadamu ni watu wa ajabu sana!. Mimi ni mmoja wao, nimetokeo tuu kukupenda wewe mwanamke na sijui nakupendea nini?. Kila siku unanitukana tuu humu lakini kitu cha ajabu ni ninakupenda tuu, kama kwenu ni Tanga au Zanzibar, basi utakuwa umeniloga, au usikute ni mimi ndio nilijiloga enzi zangu zile za peke peke maana mitaa ya gerezani ni ...usipime!.

Ni kweli kipindi cha Kiti Moto ni mali ya Masai Studio na mwanzilishi ni Ali Oki ila talk shows zote credits ni kwa host na sio owner!.

Hii story ni ya 1995, nimekitaja tuu kitimoto kwasababu ya umaarufu wake, in actual fact kipindi hicho Kiti Moto kilikuwa bado hakijaanza, mimi nimeanza na talk show ya Mada Moto ndipo nikaja Kiti Moto!.

Mtafute Ali akuhadithie ndiye aliye niendesha siku ya harusi yangu, na tulitoka ukumbuni straight to airport, honeymoon London!. Kisha nikaenda US na kuhamia humo kabla Ali na Meb hawajahamia Canada!.

Pamoja na kuniita kote muongo mtupu lakini bado nakupenda tuu!. Kulogwa kubaya!. Tena you look aged, but to me, age ain't nothing, but a number!.
Luv U FaizaFoxy
P
Umekiri kuwa u muongo.

Once a liar always a liar.

Wewe mjanja wako ni marehem Kibonde. Wadanganye wengine.
 
Mwache marehemu apumzike kwa amani!. Mimi niko Tambaza dogo yuko primary Muhimbili tunatumia playground moja!, leo ndio aje awe mjanja wangu?!. Ungesema Meb labda!. Hivi unajua kuwa uandishi wangu wa habari na utangazaji ni wa kwenda shule na sio wa kuokotezwa mitaani?. Nimeanzia RTD 5 good years ndio nikaja DTV ile 1995!.
P
 
Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.

Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za ng'ambo zikiwemo za UN, naendesha kipindi cha Kiti Moto, siogopi mtu!, sina heshima, sina adabu, sina nidhamu!, baadhi ya maswali yangu yalikuwa so provocative hadi baadhi ya viongozi wa serikali wakawa wananiogopa!, Hivyo nikavimba bichwa hilo nikajiona mimi ndiyo mimi, sioni, sisikii wala mtu haniambii kitu. Kila kinachokatiza mbele ya macho yangu halali yangu!.

Siku moja nikiwa nchi fulani, nikafuatwa na mtu mmoja raia wa nchi hiyo, baada ya kuelezwa kuna ujumbe wa watanzania. Basi huyo jamaa akatafuta mwanahabari akanimegea info tip ya issue fulani kumhusu mdada fulani mrembo wa Tanzania mwanasiasa kijana al maaruf enzi hizo akitaka iripotiwe kwenye vyombo vya habari.

Sisi waandishi sometimes tunakuwa vimbelembele sana, ukipata habari mbaya ya mtu maarufu ama unakimbilia kuilipua na sisi pia ni binadamu au unampenyezea mhusika na kumtishia kumlipua ili 'akuone', asipokuona una mlipua. Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!

Mimi kurejea nchini, nikamtafuta mwanasiasa huyu mrembo ili nimbananishe ili angalau na mimi... si unajua tena mambo ya ujana!

Bi dada akakana taarifa hizo kuwa sii za kweli ni uzushi wa uongo, huyu mtu anamzushia tuu. Mimi sikumuamini bi dada na kwa hoja moja tuu, why her?
Nika amua kumtishia kumlipua kwenye media kama vipi 'tuzungumze' tuelewane nipotezee kwa kukauka na kukausha. Bi dada akagoma katakata kufanya 'mazungumzo yale' kwa hoja kuwa ni uongo na uzushi, na mimi naendelea kumuaminia source wangu alichoniambia ni ukweli mtupu!.

Mimi na bi dada tukashindwa kufikia any compromise, hivyo nikamlipua kwa kuiandika story na kuiripoti na ikatoka, watu wa magazeti nao waka i pick from TV nakuishikia kidedea, ika trend kama wildfire na usually bad news spread faster!.

Issue ilipojulikana, wenye kazi zao nao wakaingia kazini kuifuatilia na kilichofuata bi dada moto ulimuwakia akawekwa pending pembeni kupisha uchunguzi. Kwa muda huo mimi wala sikujali what happened to her. Kumbe baadae issue ikwisha she was cleared hivyo bi dada akaendelea na kazi kwa kupanda vyeo sasa ni bosi mkubwa!.

Na mimi kwa upande wangu umaarufu wangu wa kipindi cha Kiti Moto ulikuja kuisha, kipindi kilipigwa marufuku kutokana na kuwabananisha viongozi na kuwalipua. Nikaja kuacha kazi na kutimkia zangu ughaibuni.

Mwaka 2000 nikarejea Bongo nikajiunga TBC sikudumu nikakumbana na mabalaa chungu tele, mara kukimbiwa na mke, mara kupata ajali mbaya na ku paralyze, kumbe ni malipo ya accumulation ya karma za matendo yangu ya nyuma, tutendeni mema jameni, ukitenda ubaya wowote, malipo ni hapa hapa duniani!.

Sasa leo, niko mkoa fulani kwenye lile jambo letu lile, leo ndio interview!. nimelikamilisha vizuri kuhojiwa, nimejibu maswali yote vizuri kwa ufasaha bila kubabaika, nikiwa na furaha tele na matumaini chanya kwasababu niko vizuri kwenye kujieleza, uzoefu umesimama, shule imepanda, kwa sifa tuu, uwezo na vigezo kiukweli kabisa sijifagilii, ninavyo na niko vizuri, ila unaweza kukuta kwenye watu 186 wazuri wako 40 na wengine ni wazuri zaidi yako nafasi zenyewe ni 6, kati ya 6 hizo, nafasi 3 ni za wanawake!, hivyo mijiba 100 mnagombea nafasi 3!, kati ya tatu hizo moja ni ya Zanzibar!, mtu ukikosa utalalamika?.

Nimetoka chumba cha interview na furaha yangu, kabla sijafika nje ya ukumbi naitwa nimeambiwa subiri. Mara namuona mama mtu mzima kidogo, na mshepu ambaye ndiye katibu wa ile kamati ya interview, ananisalimia kwa majina yangu yote mawili huku ana smile, "unanikumbuka?"
Nikamwangalia trying to recall nimemuona wapi, sikukumbuki but the face looks bit familiar.
Nikamjibu sikumbuki naomba unikumbushe, akanitajia "mimi ni fulani bin fulani, umenikumbuka?"

Duh.m! Nilipigwa na a shock ya mwaka
of my life! Kumbe yule bidada niliyemlipua mwaka 1995, miaka 27 iliyopita, sasa ndiye boss wa interview yangu!.

"Interview umefanya vizuri nikaona nije kukusalimia tuu na kukumbusha ili unikumbuke ulichonifanyia!. Nenda salama mimi ngoja nirudi kwenye kikao"

Ghafla mwili uliingia baridi kama barafu nili freeze, nikataka kuishiwa nguvu na kuanguka, miguu imeingia ganzi ghafla haiwezi kuubeba mwili, nikaegemea ukuta nisianguke.

Mmama huyo kageuza kurudi ndani!, anatembea taratibu with confidence huku nikikodolea mshepu kwa nyuma nikibaki sina hili wala lile!. Kwa sekunde kadhaa nilibaki mdomo wazi na adrenalin rush sauti imenikauka, macho yamenitoka kama nakabwa nimeona jini!, huku mwanga ukififia naona giza. Napata kama kizunguzungu!.

Nikaambaa ambaa huku nimeshika ukuta hadi kwenye viti vya karibu nikakaa na kuvuta pumzi kwa nguvu kama umeachiwa baada ya kukabwa nataka kushindwa kupumua.

Just tell me, in such a situation, kuna kusubiria tena majibu positive ya lile jambo letu?!. Tena nikivuta picha kukumbuka when she was begging me, nisimlipue, tears dropped on her dimples cheeks, she almost cried!. She insisted if it was true, she would have done anything that I ask but it was not true!.

Lessons
Hii shock of my life niliyokutana nayo leo, na furaha yangu kugeuka shubiri, imenifunza lile somo la be good to people on your way up, you might meet them on your way down!. Usijisikie wewe ndio wewe wakati ukiwa juu na kuwatenda wengine kuwadharau, kuwaonea, kuwalipua, na kuwatesa, huijui kesho yako utakutana nao wapi wewe ukiwa nani na wao wakiwa nani!.

Yule mdada mrembo niliyemlipua kwenye media enzi hizo mimi ni mimi, leo yeye ndio boss anayetakiwa kutia tick jina langu lisonge mbele, na mimi leo ndio a beggar begging for her mercy!.

Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea hata kama ni sifa na vigezo na niko among the top aspirants, msiponiona jina langu kusonga mbele, mjue sio upungufu wa sifa, bali the cause ni mimi mwenyewe na karma reprisals hit back za matendo yangu ya nyuma on what goes around, comes around!.

Kwa vile mimi yamenikuta, naomba niwe darasa kwa wengine, always be humble na kuwatendea mema watu wote, heshima watu wote wakubwa na wadogo na usidharau watu. Wadogo wa leo ndio wakubwa wa kesho!.

Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada kwenye media wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top!.
Karma is real na majuto ni mjukuu!.

We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba sana unisamehe kwa yote nilio kutendea.

Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!

Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.

Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni tayari nimejikubali nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.

Naahidi kuwa mtu mwema zaidi sasa na yale mazuri yote ninayoitendea nchi yangu, hata bila uteuzi nitaendelea kuyatenda na kuwa raia mwema wa JMT

Mungu nisaidie.
Amen.
Kumbe unoko umeanza zamani sana Paskali. Ujifunze sasa namna ya kuishi na watu
 
Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea hata kama na mimi nimekidhi sifa na vigezo na niko among the top aspirants, msiponiona jina langu kusonga mbele, mjue sio upungufu wa sifa, bali nimezidiwa sifa na wengine na sio nimeenguliwa kwasababu ya hii issue!. Ila pia ikitokea nimekidhi sifa na vigezo ila poa nina mzigo mkubwa wa makando kando ambayo hayabebeki, nawaomba ndugu zangu, tukubaliane na matokeo yoyote, na ikiwa hivyo, I don't point fingers or shift the blame to anyone, the cause ni mimi mwenyewe, "ME, MYSELF & I" na karma reprisals hit back za matendo yangu ya nyuma on what goes around, comes around!.

Kwa vile mimi yamenikuta, naomba niwe darasa kwa wengine, always be humble na kuwatendea mema watu wote, heshima watu wote wakubwa na wadogo na usidharau watu. Wadogo wa leo ndio wakubwa wa kesho!.

Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada kwenye media wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top!.
Karma is real na majuto ni mjukuu!.

We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba sana unisamehe kwa yote nilio kutendea.

Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!

Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.

Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni tayari nimejikubali nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.

Naahidi kuwa mtu mwema zaidi sasa na yale mazuri yote ninayoitendea nchi yangu, hata bila uteuzi nitaendelea kuyatenda na kuwa raia mwema wa JMT, tena kwa taarifa, ile tabia ya ku lipua lipua watu kwenye media due to info tip sasa nimeisha achana nayo na mfano hai ni ile siku napata info tip hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli by this time, already I had a certain info tip fulani ya mtu huyu kutoka kwa Mkuu britanicca , hiyo info tip niliizungumza tuu humo

Just imagine kama ningekuwa ni yule Pasco wa Kiti Moto, nikaziweka hizo sababu, could you imagine ingekuwaje?!.

Huyu Pascal Mayalla wa sasa, japo bado ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, kwanza ameachana na kuandika habari za kiuchunguzi, Investigative Journalism (IJ) na kujikita kwenye Developmental Journalism (DJ), pili akikutana na damaging info tip, anatumia objectivity zaidi kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Hivyo sasa wajemeni mimi ni a completely changed person!, nisihukumiwe au kuadhibiwa kwa makosa yangu ya zamani bali nihukumiwe kwa mawazo, maneno na matendo yangu ya sasa, kama nilivyo shauri hapa Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP! tukianza kuhukumiana kwa mawazo, maneno, matendo na makosa ya nyuma..., nani atasimama?!.

Mungu nisaidie.
Amen.

Paskali.
Wajameni msishangae kuona watu wako macho usiku mkubwa hivi, today is the third day consecutive of sleepless night kusubiria matokeo ya hili jambo letu!.
Mungu nisaidie!.
P
 
Interview ya nini tena Paskali siumeitwa Dodoma
Mkuu World light , Dodoma ndio kila kitu!, this time sio kuitwa Dodoma kuhojiwa na kamati ya Bunge kama hapa Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge this time ni kuhojiwa na chama kwanini ninafaa kuwa mbunge wa EALA. Kabla sijaitwa kuhojiwa na Kamati hii ya Bunge, Pasco alikuwa ni ropo ropo!. Nilipotoka kwenye mahojiano haya, I come out a completely changed person. Jee uliwahi kusikia chochote kilichojiri kwenye mahojiano hayo, au matokeo ya mahojiano haya , huu ndio uthibisho huyu Pasco wa sasa ni a coplete changed person, ni mtu mwenye kabah!.

Kaka unajua hadi sasa hujabadilika tofauti pekee kwasasa huna pesa ndefu. Respectfully.
 
Mkuu WILE, kwanza ni kweli money blinds, mtu aliyekuwa na B kwenye account yake akitembelea Mercedes Benz E Class akienda vocation London, Paris na New York, pesa ikija kukata sasa atembelea dala dala, msosi anakula Feri, mtu kama huyu ana change, hata akija kushika tena pesa, he will never be the same again!.
That is me!.
Niombee tuu hili jambo langu liwe then utashuhudia!.
P
 
Paskali hapa hujaomba msamaha.
Mkuu James Comey, nimeomba msamaha, ila kiukweli ma strategists kama nyinyi mnahitajika sana hapa nchini ili mtumie uwezo wenu huo kulisaidia taifa.
Hapa umemtisha tena huyo mtu kuwa akikukata basi ni yale ya miaka 27 iliyopita hivyo asikukate na yeye akutetee ili kuonesha yale yaliisha.
Mfa maji haishi kutapatapa, ukijikuta umetupwa baharini na hujui kuogelea, sasa katika kutapatapa ili usizame, hata ukiona chelewa inaelea, utaikimbilia ili kuishika ukidhani itakuokoa!. Hapo sijatumia blackmail bali nimeweka tuu caveat, tukio lile lisitumike kuniadhibu sasa. Nikikatwa nikatwe kwa mengine ikiwemo kuzidiwa sifa na hao wengine 186!.
Pia, umeweka tension ya watu kutaka kujua kilichotokea miaka 27 nyuma.
No tension yoyote, ila nikijadiliwa na kikao, wajumbe wakinikata kuwa huyu jamaa hatufai, Bidada atanikingia kifua nisikatwe, maana nikikatwa, mimi nitadhania ni yeye!. Mchawi mpe mwanao akulele, atakuwa salama!.
Anyway, wanaweza kukukata kwa ground tu wewe nu mropokaji hasa ktk mitandao. Ni mind gemu nzuri umemchezesha iwapo atasoma hapa kabla hajafanya maamuzi Kila la kheri.
Its true mimi ni mropokaji katika mitandao ila siku hizi nimebadilika sana, sio mropokaji wa kila kitu, kuna vitu very strategic for national security yetu nilikuwa navijua na ningeviropoka vingekuwa very damaging to some people kama, ile tabia mbaya ya ku lipua lipua watu kwenye media due to info tip sasa nimeisha achana nayo na mfano hai ni ile siku napata info tip hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli by this time, already I had a certain info tip fulani ya mtu huyu kutoka kwa Mkuu britanicca , hiyo info tip niliizungumza tuu humo
Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha, zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha, kunisononesha na kuninyongonyeza!, kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kilichonistua, kunitisha, kunihuzunisha, kunisikitisha, kunisononesha, kunigopesha na kuninyongoneza ni the reasons behind, sababu alizonitajia kada huyu za why mgombea wa CCM mwakani ni Magufuli, ambazo ndizo zimepelekea the inner core ya CCM kuamua mgombea wake wa urais wa 2015 ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!.

Naomba kwa sasa nisizitaje kwanza hizo sababu nilizotajiwa za kwa nini ni Magufuli, kwa sababu habari zenyewe nimezisikia juu juu tuu tena from just a single source, hivyo nahitaji kwanza kujiridhisha kwa kufanya verification kwa ku double check, na ku cross check ikiwemo kupata a collaborative verification na attribution ya third parties ili nijiridhishe kuwa hii ni habari za kweli na kuthibitisha kuwa kumbe hivyo ndivyo the inner core ya CCM inavyoweza kufikia maamuzi ya mgombea wake wa urais based on sababu nilizo tajiwa!, then nitaziweka hadharani hizo sababu za kwa nini CCM imeamua mgombea wake wa urais kwa uchaguzi wa 2015 lazima awe ni John Pombe Magufuli tuu na sio mtu mwingine yoyote!, na kiukweli mkizisikia hizo sababu nilizotajiwa, naamini hata nyinyi sio tuu mtashangaa, bali mtakubaliana na mimi kwanini mtu huyu asiwe!.
Just imagine kama ningekuwa ni yule Pasco wa Kiti Moto, nikaziweka hizo sababu, could you imagine ingekuwaje?!.

Huyu Pascal Mayalla wa sasa, japo bado ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, kwanza ameachana na kuandika habari za kiuchunguzi, Investigative Journalism (IJ) na kujikita kwenye Developmental Journalism (DJ), pili akikutana na damaging info tip, anatumia objectivity zaidi kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Hivyo sasa wajemeni mimi ni a completely changed person!, nisihukumiwe au kuadhibiwa kwa makosa yangu ya zamani bali nihukumiwe kwa mawazo, maneno na matendo yangu ya sasa, kama nilivyo shauri hapa Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP! tukianza kuhukumiana kwa mawazo, maneno, matendo na makosa ya nyuma..., nani atasimama?!
P
 
Kwani si ulitoa habari ambayo ni sahihi shida ni pale ulipoanza kwa kwenda kuomba kupumzika nae, subiria na yeye anaweza akaomba kitu kutoka kwako.
Na hata ukipata nafasi bado utapata wakati mgumu kufanya kazi na yeye akiwemo humo
 
Tukirudi kwenye tukio la huyo dada, kama ni muungwana, ameshakua mtu mzima na bila shaka HEKIMA na busara xitatumikavkuonyesha ukomavu.

Atakufanyia wema kuonyesha Yuko matured. Usihofu sana
Mkuu The Monk, kiukweli kabisa, hata alivyonifuata, you could read her eyes, alikuja with motherly love kuwa huyu jamaa alikuwa mtoto at foolish age, hakujua atendalo!, hivyo hata ikitokea mimi nikapita, itakuwa ni huyu mama!.
Let's keep our fingers crossed
halafu japo mwanzo nilitaka to take advantage, kiukweli kabisa sasa ... naomba nisiendelee maana udhaifu mwingine!, haunaga age wala maturity!, you are weak!, you are just weak!.

Huko kwenye udhaifu ni matatizo yetu tunapambana nayo kama wanaume. Kimsingi tukio la baada ya usaili lisikuvunje moyo na kukukosesha amani. Chukulia kama SoMo tu kwenye maisha. Kikubwa usitafute endelea kutulia Hadi majibu yatakapotoka. Hapo ndio ikitokea nafasi, unaweza kumsaka Kwa ajili ya kuweka mambo sawa kwamba enzi zile ilikua ujana na mambo ya kazi, hivyo myaache na kuyaweka pembeni maisha yaendelee. Lakini ikitokea hiyo nafasi ya kuomba radhi udhibiti udhaifu...ajue ni genuine lengo ni kujutia yaliyotokea huko nyuma, moyo wake uachilie machungu uliyomsababishia enzi hizo.

Bado nna Imani jambo letu linaweza kukamilika Kwa furaha Kaka.
 
Amen, Amen!, and when sorting the scores, you never know her status now!, ... ikitokea!, hakuna mbaya!, after all kwa baadhi yetu, age ain't nothing!, but a number!.
P
 
Back
Top Bottom