A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Paskali hapa hujaomba msamaha.

Hapa umemtisha tena huyo mtu kuwa akikukata basi ni yale ya miaka 27 iliyopita hivyo asikukate na yeye akutetee ili kuonesha yale yaliisha. Pia, umeweka tension ya watu kutaka kujua kilichotokea miaka 27 nyuma.

Anyway, wanaweza kukukata kwa ground tu wewe nu mropokaji hasa ktk mitandao. Ni mind gemu nzuri umemchezesha iwapo atasoma hapa kabla hajafanya maamuzi Kila la kheri.

Hili jamaa ni jitu la hovyo, bado linaendelea kumzalilisha Mama wa watu!

Paschal is selfish with no wisdom, kwa nini asingemtafuta wakaongea Lina kuja huku!

Can you imagine? Pascal anataka kusema kama akikosa Hii Kazi, then ni chuki za huyo Mama!

Huwezi kujiamini kwa kiwango hiki but una mblackmail Mama wa watu, na kwa maelezo haya, kufahamika ni jambo rahisi.

I have advice for you Pascal, live a low profile now and struggle kujijenga, uache kuropoka ropoka! It will not help you!!
 
Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.

Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za ng'ambo zikiwemo za UN, naendesha kipindi cha Kiti Moto, siogopi mtu!, sina heshima, sina adabu, sina nidhamu!, baadhi ya maswali yangu yalikuwa so provocative hadi baadhi ya viongozi wa serikali wakawa wananiogopa!, Hivyo nikavimba bichwa hilo nikajiona mimi ndiyo mimi, sioni, sisikii wala mtu haniambii kitu. Kila kinachokatiza mbele ya macho yangu halali yangu!.

Siku moja nikiwa nchi fulani, nikafuatwa na mtu mmoja raia wa nchi hiyo, baada ya kuelezwa kuna ujumbe wa watanzania. Basi huyo jamaa akatafuta mwanahabari akanimegea info tip ya issue fulani kumhusu mdada fulani mrembo wa Tanzania mwanasiasa kijana al maaruf enzi hizo akitaka iripotiwe kwenye vyombo vya habari.

Sisi waandishi sometimes tunakuwa vimbelembele sana, ukipata habari mbaya ya mtu maarufu ama unakimbilia kuilipua na sisi pia ni binadamu au unampenyezea mhusika na kumtishia kumlipua ili 'akuone', asipokuona una mlipua. Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!

Mimi kurejea nchini, nikamtafuta mwanasiasa huyu mrembo shombe shombe ili nimbananishe ili angalau na mimi... si unajua tena mambo ya ujana!

Bi dada akakana taarifa hizo kuwa sii za kweli ni uzushi wa uongo, huyu mtu anamzushia tuu. Mimi sikumuamini bi dada na kwa hoja moja tuu, why her?
Nika amua kumtishia kumlipua kwenye media kama vipi 'tuzungumze'. Bi dada akagoma katakata kufanya 'mazungumzo yale' kwa hoja kuwa ni uongo na uzushi, na mimi naendelea kumuaminia source wangu alichoniambia ni ukweli mtupu!.

Mimi na bi dada tukashindwa kufikia any compromise, hivyo nikamlipua kwa kuiandika story na kuiripoti na ikatoka, watu wa magazeti nao waka i pick nakuishikia kidedea, ika trend kama wildfire bi issue ilipojulikana, wenye kazi zao nao wakaingia kazini!. Kilichofuata bi dada moto ulimuwakia akawekwa pending kwa muda sikujali what happened to her. Kumbe baadae issue ikwisha dada akaendelea na kazi kwa kupanda vyeo sasa ni bosi mkubwa.

Sasa leo, niko mkoa fulani kwenye lile jambo letu fulani lile, leo ndio interview!. nimelikamilisha vizuri kuhojiwa, nimejibu maswali yote vizuri kwa ufasaha, nikiwa na furaha tele na matumaini chanya kwasababu niko vizuri kwenye kujieleza, uzoefu umesimama, shule imepanda, kwa sifa tuu, uwezo na vigezo kiukweli kabisa sijifagilii, niko vizuri, ila unaweza kukuta kwenye watu 186 wazuri wako 40 na wengine ni wazuri zaidi yako nafasi zenyewe ni 6, kati ya 6 hizo, nafasi 3 ni za wanawake!, hivyo mijiba 100 mnagombea nafasi 3!, kati ya tatu hizo moja ni ya Zanzibar!, mtu ukikosa utalalamika?.

Nimetoka chumba cha interview na furaha yangu, kabla sijafika nje ya ukumbi naitwa nimeambiwa subiri. Mara namuona mama mtu mzima ambaye ndiye katibu wa ile interview, ananisalimia kwa majina yangu yote mawili huku ana smile, "unanikumbuka?"
Nikamwangalia trying to recall nimemuona wapi, sikukumbuki but the face looks bit familiar.
Nikamjibu sikumbuki naomba unikumbushe, akanitajia "mimi ni fulani bin fulani, umenikumbuka?"

Duh.m! Nilipigwa na a shock of my life! Kumbe yule bidada niliyemlipua mwaka 1995, miaka 27 iliyopita, sasa ndiye boss wa interview yangu!

"Interview umefanya vizuri nikaona nije kukusalimia na kukumbusha, nenda salama mimi ngoja nirudi kwenye kikao"

Ghafla mwili uliingia baridi kama barafu nili freeze, nikataka kuishiwa nguvu na kuanguka, miguu imeingia ganzi ghafla haiwezi kuubeba mwili, nikaegemea ukuta nisianguke.

Mmama huyo kageuza kurudi ndani! Kwa sekunde kadhaa nilibaki mdomo wazi na adrenalin rush sauti imenikauka, macho kama naona giza. Napata kama kizunguzungu, nikaambaa ambaa huku nimeshika ukuta hadi kwenye viti vya karibu nikakaa na kuvuta pumzi kwa nguvu kama nataka kushindwa kupumua.

In such a situation, kuna kusubiria tena majibu ya lile jambo letu? Tena nikivuta picha kukumbuka when she was begging me, nisimlipue, she cried. She insisted if it was true, she would have done anything that I ask but it was not true.

Lessons
Hii shock of my life niliyokutana nayo leo, na furaha yangu kugeuka shubiri, imenifunza lile somo la be good to people on your way up, you might meet them on your way down. Usijisikie wewe ndio wewe wakati ukiwa juu na kuwatenda wengine kuwadharau, kuwaonea, kuwalipua, na kuwatesa, huijui kesho yako utakutana nao wapi wewe ukiwa nani na wao ni kina nani.

Yule mdada mrembo niliyemlipua enzi hizo mimi ni mimi, leo yeye ndio boss anayetakiwa kutia tick jina langu lisonge mbele. Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea msiponiona kusonga mbele, sio upungufu wa sifa, bali ni karma reprisals hit back za what goes around, comes around. Be humble na kuwatendea mema watu. Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top.
Majuto ni mjukuu.

We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba unisamehe sana kwa nilio kutendea.

Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!

Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.

Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.

Karma is real!
Amen.

Paskali.
Ni vema umeomba msamaha.Naishia hapo.
 
Paskali jifunze kuwa na subira, si busara kuanza kumtilia shaka hadharani refa wakati wa mechi, umemuweka hadharani huku yeye huenda hana baya lolote kwako, nakushauri habari hii ungeitoa baada ya yote kufanyika na kuhitimishwa.
Mtazamo wangu naomba uuheshimu: Haufai kuwa kiongozi. Hii inatokana na jinsi ulivyojiandika na kujipambanua binafsi.
 
Hii ni mind game, unataka kutuaminisha kuwa ikitokea umekosa basi si kwamba umepungukiwa sifa bali ni revenge. Kwani wewe unafikiri sifa ni zipi? Hiyo pia ni sifa mojawapo maana inakuelezea wewe ni mtu wa aina gani.

Lakini kitendo cha kuandika haya wakati huu ambapo mchakato bado unaendelea pia inakupunguzia sifa.
 
Bwana Paskali,
Niruhusu nami nikupe kisa cha kweli ambacho kidogo kimefanana na chako.

Nilikuwa kijana kama wewe mjanja na ukipenda shule pia ipo ndani na nje na dunia naijua vyema na nina kazi nzuri.

Alhamdulilah.
Nafanyakazi Tanga.

Kitu ambacho kinaweza kukufanya unitazame tukipishana barabarani ni gari yangu kali sana nimeinunua Dubai.

Ikiwa tutapisha kwa miguu na wewe unazijua ''pamba,'' utageuza shingo kuangalia Yve Saint Laurent, Gucci juu kati na chini utatazama pia utakutana na Roland Cartier.

Tanga aina ya gari hizo zilikuwa mbili ya Bohora mmoja mfanya biashara tajiri na gari yangu.

Mashaallah nikipendeza na wakinipenda.
Lakini binadamu unatakiwa uwe binadamu ili ukamllishe utu wako.

Nilikuwa nimekabidhiwa kiwanda cha Coca Cola Tanga cha mzee wangu kilichokuwa kimefungwa mashine zimetolewa yamebaki majengo.

Kazi yangu ikawa kukiangalia kiwanda hadi majengo yatakapopata mnunuzi.
Ndani ya kiwanja kuna nafasi kubwa sana.

Ili kufidia gharama za kulipa umeme, maji na walinzi uwanja huu nikawapangisha wafanya biashara kutoka Kenya na Eritrea kuweka miti inaitwa mikaratusi inayotumika kama nguzo za umeme.

Miti hii hii ilikuwa inanunuliwa pale pale Tanga inahifadhiwa hapo kiwandani kusubiri mzigo uwe mwingi meli ije usafirishwe kwenda nje.

Ghafla wafanya biashara hawa wakapotea kwa muda mrefu mali iko kiwanjani kwangu inalindwa lakini kodi ya pango hailetwi.

Simu, email havijibiwi kiasi cha miaka miwili hivi.

Majengo tukauza shida iliyobakia ilikuwa kwa mali hii kuondoshwa katika ''premises,'' kwa kuwa mnunuzi mpya alikuwa anataka kufunga mitambo mipya ya kutengezeza soda aendelee na biashara yake.

Kisa kirefu kuwa kifupi.

Mnunuzi wa mali ile akapatikana nikauza mali na fedha nikaweka benki nami nikabaki na nyaraka za ushahidi wenyewe watakapojitokeza nikawabidhi fedha zao.

Siku ya pili tu baada ya kukamilisha mauzo yale na kuanza kuondoa mzigo katika kiwanda nikapigiwa simu kuwa natakiwa Polisi Chumbageni.

Ilikuwa Jumapili.
Nikafika.

Nikakutana na askari wawili na kijana mmoja wa KIsomali.

Nikaelezwa kuwa huyo kijana wa Kisomali amekuja kutoa taarifa Polisi kuwa mali yake iliyokuwa kwenye kiwanda ambacho kilikuwa chini ya usimamizi wangu inahamishwa bila idhini yake.

Nikajieleza.

Nikarudi nyumbani kuchukua vielelezo vyote kuonyesha wenye mali ni nani na huyo anaesema ni yake mimi simtambui.

Ikawa sasa kila baada ya siku mbii tatu askari wananiita kituoni na hakuna la maana wanaloniambia ila neno moja tu, ''Hii kesi nyepesi tunaweza kuimaliza mara moja.''

Jibu langu kwao ilikuwa moja, ''Najua kuwa sina kesi yoyote hapa.''

Kumbe nilichokuwa sijui ni kuwa niliwaonyesha fedha za ile mali niliyouza ambazo zilikuwa benki.

Hazikuwa fedha kidogo.

Nilikuwa nimefanya kosa kubwa sana.

Msomali na Polisi wote kwa pamoja walikuwa wanazitaka zile fedha niwachotee kidogo mambo yaishe.

Hawa askari walikuwa wawili na majina yao ninayo.
Nilipojua upuuzi ule nikawa sitoi ushirikiano waliotegemea kutoka kwangu.

Siku moja jioni kabisa ofisi zimefungwa nikapokea simu kutoka Polisi Chumbagani kutoka kwa wale askari kuwa nahitajika kituoni.

Nilipofika nikaelezwa kuwa kesho nafikishwa mahakamani kwa kosa la wizi wa kuaminiwa.

Nilipigwa na butwaa na kwa hakika nilifadhaika kupita kiasi.
Mimi mwizi.

Nilitakiwa nifike mahakamani siku ya pili asubuhi na wadhamini wawili mmoja awe na mali isiyohamishika na mwingine awe na barua ya mwajiri wake.

Asubuhi nimefika mahakamani wadhamini wangu wamenikuta niko katika benchi na watuhumiwa wengine kutoka Jela ya Maweni tumesimamiwa na askari.

Katika ile benchi tuliyokaa kijana mmoja mtoto mdogo umri wa sekondari akanisemesha akaniuliza kama namkumbuka.

Nikamjibu simkumbuki.
Akanieleza vipi tulikutana.

Ukiingia Chumbageni Polisi Mapokezi kushoto kuna ''lockup'' na kijidirisha kidogo cha mahabusi.

Kijana anasema iko siku naingia polisi kaniona akaniita kupitia kile kidirisha tukatazamana na akaniomba hela.

Nilimkumbuka.

Nilimuuliza askari aliyekuwa kasimama pale nje kama naweza kumpa yule mtoto chochote.

Yule askari akaniambia nimpe tu hakuna tatizo.
Nikatoa fedha nikampa yule mtoto.

Ikawa pale mahakamani tayari nimeshapata ndugu.

Huyu kijana akaniambia, ''Ikiwa watauleta Maweni usiwe na hofu mimi nitakuwa nakuchotea maji ya kuoga na kukufuli nguo zako...'' maneno yakawa yanaingia sikio moja yanatokea sikio la pili.

Nilikuwa nimepigwa na mshtuko mkubwa sana.

Najiuliza nimefikaje hapa na katika hali kama hii?
Nilimkatalia hakimu shitaka la wizi wa kuaminika.

Hakimu akapanga siku ya kusikiliza kesi.

Mdhamini wangu wa kwanza akatoa barua kutoka kwa mwajiri wake kunidhamini.

Muongoza Mashtaka akaikubali.
Mdhamini wa pili akatoka hati ya nyumba iko Ngamiani.

Mwendesha Mashtaka akaikataa kisa majina yaliyoko katika hati ni majina ya baba wa mdhamini kwa hiyo hiyo nyumba si yake.

Mtuhumiwa kashindwa kutimiza masharti ya dhamana kwa hiyo atapelekwa Maweni.

Yakatokea mabishano makubwa kati ya mdhamini wangu na Mwendesha Mashtaka.

Hakimu akaingia kati akasema yeye anatoa dhamana kwa mshtakiwa kwa hiyo barua moja iliyofikishwa mahakamani.

Baada ya mahakama kumalizika nikaenda ofisini kwa Hakimu kukamilisha dhamana yangu nikiwa na Mwendesha Mashtaka.

Naingia ofisini Hakimu ananitolea salamu kwa bashasha na kuniuliza kama namkumbuka.

Akaniambia, ''Nilikuwa natoka Dar es Salaam na dereva wangu tunakuja Tanga, tunafika Wami, gari ikatuharibikia Wami.

Wewe ulisimama ukanichukua na gari yako hadi Tanga.''
Nikakumbuka.

Akanipa pole kwa mkasa ule na akaniuliza nini tatizo.
Nikamueleza kila kitu.

Hakimu akamtazama Mwendesha Mashtaka akasema, ''Angalieni haya mambo msije kuvunja heshima za watu kwa mambo ya kipuuzi.''

Nikapata dhamana.
Kisa kirefu tukomee hapa.

Mwendesha Mashataka tukiwa ndani ya majengo ya Mahakama wakati naondola mtu huru kanifuata kuniomba hongo.

Nilimuuliza anataka kiasi gani.
Nilimuuliza kwa kuwa nilitaka kujua thamani yangu kutoka kwake.

Aliniomba shs: 5,000.00.

Nilisikitika kwa kunishusha kiasi kile na nilimuhurumia sana kupita kiasi kwa kujidhalilisha mwisho wa udhalili.

Siku ile haukupita muda mji mzima wa Tanga taarifa zimeenea kuwa nimefikishwa mahakamani na Msomali kwa ''wizi wa kuaminiwa.''

Watu hawakuamini kuwa mimi naweza kuwa mwizi.

Jamaa wakamfuata na swali moja tu walikuwa wanamuuliza, ''Wewe unamjua vizuri Mohamed Said?''

Msomali aliingia hofu na naamini aliwaambia wale askari washirika wake kuwa mtego wao umekamata chui badala ya swala.

Mtego uliokamata chui unatisha hakuwa wa kuusogelea.

Hawakunipigia simu tena.
Sasa narudi kwako ndugu yangu Paskali.

Nadhani kipo ulichosoma katika stori hii na kukuongezea funzo.
Umelipwa unachostaili.
 
Asipokusamee inakuwa karma over karma,it may reverse back,msngi wa kusamehe ndio msingi mkuu..! Hivi vitu NI vya akili kubwa Sana tena vya kimungu,LABDA POINT MUHIMU ULIYOIRUKA NI KWAMBA ALIPOKUKUMBUSHA ULIPASWA UMWOMBE KWA YOTE ULIYOYAFANYA ,AKIGOMA KARMA INAKUJA M HIT-YEYE ENDAPO ATAFANYA YASIYOSTAHILI.
 
Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.

Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za ng'ambo zikiwemo za UN, naendesha kipindi cha Kiti Moto, siogopi mtu!, sina heshima, sina adabu, sina nidhamu!, baadhi ya maswali yangu yalikuwa so provocative hadi baadhi ya viongozi wa serikali wakawa wananiogopa!, Hivyo nikavimba bichwa hilo nikajiona mimi ndiyo mimi, sioni, sisikii wala mtu haniambii kitu. Kila kinachokatiza mbele ya macho yangu halali yangu!.

Siku moja nikiwa nchi fulani, nikafuatwa na mtu mmoja raia wa nchi hiyo, baada ya kuelezwa kuna ujumbe wa watanzania. Basi huyo jamaa akatafuta mwanahabari akanimegea info tip ya issue fulani kumhusu mdada fulani mrembo wa Tanzania mwanasiasa kijana al maaruf enzi hizo akitaka iripotiwe kwenye vyombo vya habari.

Sisi waandishi sometimes tunakuwa vimbelembele sana, ukipata habari mbaya ya mtu maarufu ama unakimbilia kuilipua na sisi pia ni binadamu au unampenyezea mhusika na kumtishia kumlipua ili 'akuone', asipokuona una mlipua. Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!

Mimi kurejea nchini, nikamtafuta mwanasiasa huyu mrembo shombe shombe ili nimbananishe ili angalau na mimi... si unajua tena mambo ya ujana!

Bi dada akakana taarifa hizo kuwa sii za kweli ni uzushi wa uongo, huyu mtu anamzushia tuu. Mimi sikumuamini bi dada na kwa hoja moja tuu, why her?
Nika amua kumtishia kumlipua kwenye media kama vipi 'tuzungumze'. Bi dada akagoma katakata kufanya 'mazungumzo yale' kwa hoja kuwa ni uongo na uzushi, na mimi naendelea kumuaminia source wangu alichoniambia ni ukweli mtupu!.

Mimi na bi dada tukashindwa kufikia any compromise, hivyo nikamlipua kwa kuiandika story na kuiripoti na ikatoka, watu wa magazeti nao waka i pick nakuishikia kidedea, ika trend kama wildfire bi issue ilipojulikana, wenye kazi zao nao wakaingia kazini!. Kilichofuata bi dada moto ulimuwakia akawekwa pending kwa muda sikujali what happened to her. Kumbe baadae issue ikwisha dada akaendelea na kazi kwa kupanda vyeo sasa ni bosi mkubwa.

Sasa leo, niko mkoa fulani kwenye lile jambo letu fulani lile, leo ndio interview!. nimelikamilisha vizuri kuhojiwa, nimejibu maswali yote vizuri kwa ufasaha, nikiwa na furaha tele na matumaini chanya kwasababu niko vizuri kwenye kujieleza, uzoefu umesimama, shule imepanda, kwa sifa tuu, uwezo na vigezo kiukweli kabisa sijifagilii, niko vizuri, ila unaweza kukuta kwenye watu 186 wazuri wako 40 na wengine ni wazuri zaidi yako nafasi zenyewe ni 6, kati ya 6 hizo, nafasi 3 ni za wanawake!, hivyo mijiba 100 mnagombea nafasi 3!, kati ya tatu hizo moja ni ya Zanzibar!, mtu ukikosa utalalamika?.

Nimetoka chumba cha interview na furaha yangu, kabla sijafika nje ya ukumbi naitwa nimeambiwa subiri. Mara namuona mama mtu mzima ambaye ndiye katibu wa ile interview, ananisalimia kwa majina yangu yote mawili huku ana smile, "unanikumbuka?"
Nikamwangalia trying to recall nimemuona wapi, sikukumbuki but the face looks bit familiar.
Nikamjibu sikumbuki naomba unikumbushe, akanitajia "mimi ni fulani bin fulani, umenikumbuka?"

Duh.m! Nilipigwa na a shock of my life! Kumbe yule bidada niliyemlipua mwaka 1995, miaka 27 iliyopita, sasa ndiye boss wa interview yangu!

"Interview umefanya vizuri nikaona nije kukusalimia na kukumbusha, nenda salama mimi ngoja nirudi kwenye kikao"

Ghafla mwili uliingia baridi kama barafu nili freeze, nikataka kuishiwa nguvu na kuanguka, miguu imeingia ganzi ghafla haiwezi kuubeba mwili, nikaegemea ukuta nisianguke.

Mmama huyo kageuza kurudi ndani! Kwa sekunde kadhaa nilibaki mdomo wazi na adrenalin rush sauti imenikauka, macho kama naona giza. Napata kama kizunguzungu, nikaambaa ambaa huku nimeshika ukuta hadi kwenye viti vya karibu nikakaa na kuvuta pumzi kwa nguvu kama nataka kushindwa kupumua.

In such a situation, kuna kusubiria tena majibu ya lile jambo letu? Tena nikivuta picha kukumbuka when she was begging me, nisimlipue, she cried. She insisted if it was true, she would have done anything that I ask but it was not true.

Lessons
Hii shock of my life niliyokutana nayo leo, na furaha yangu kugeuka shubiri, imenifunza lile somo la be good to people on your way up, you might meet them on your way down. Usijisikie wewe ndio wewe wakati ukiwa juu na kuwatenda wengine kuwadharau, kuwaonea, kuwalipua, na kuwatesa, huijui kesho yako utakutana nao wapi wewe ukiwa nani na wao ni kina nani.

Yule mdada mrembo niliyemlipua enzi hizo mimi ni mimi, leo yeye ndio boss anayetakiwa kutia tick jina langu lisonge mbele. Mwenzenu leo yamenikuta, na ikitokea msiponiona kusonga mbele, sio upungufu wa sifa, bali ni karma reprisals hit back za what goes around, comes around. Be humble na kuwatendea mema watu. Sasa hivi natafakari nilipata nini kwa kumuwasha yule dada wakati huo nikiwa top, compared to sasa nakosa nini mimi nikiwa down and she is top.
Majuto ni mjukuu.

We mama niliyo kukosea kwa kukutenda ulipokuwa msichana, nakuomba unisamehe sana kwa nilio kutendea.

Nimekosa mimi,
Nimekosa mimi,
Nimekosa sana!

Naomba huruma yako, maana nimeshakula bakora za karma za kutosha.

Ila pia ikitokea ukashindwa kusamehe mimi nikikatwa ni nimekatwa kihalali kabisa kufidia matendo yangu enzi za ujana maji ya moto. Mungu unisamehe, unifundishe kunyamaza and being humble.

Karma is real!
Amen.

Paskali.
Kwa hiyo umekuja kumlipua tena!
 
Back
Top Bottom