A syringe used to treat syphilis in 1545

si unakumbuka kulikuwa kunaweza kuwa na mwanakijiji mmoja anamiliki sindano, anachomea wote ila akimaliza kabla ya mwingine anaichemsha kwenye sufuria tunalopikia ugali, kazi inaendelea. na watu walikuwa wanapona kwa imani.
Walikuwa wanachemsha kwa kutumia Stove
 
Enzi hizo ukiugua Gonohorea unachomwa sindano ya dawa ya PPF ya ng'ombe. Ndio ilokuwa ina uwezo wa kutibu gono ya wakati huo.
Mlikua mnaumwa gono la mbwa nin??
 


Sio kijijini kwako tu bali ni duniani kote hali ilikuwa hiyohiyo ya kuchemsha na kudunga ni hadi ulipoingia Ugonjwa wa AIDS ndipo disposable syringes zikaanza.
 
Enzi hizo ukiugua Gonohorea unachomwa sindano ya dawa ya PPF ya ng'ombe. Ndio ilokuwa ina uwezo wa kutibu gono ya wakati huo.


Wewe uliwahi kuchomwa??
 
Mpaka sasa hapa Dar wanachemsha hivo vifaa kutumika na wengine
 
Ni kweli kabisa haya maisha ndio tumekulia sisi ila ilikuwa ni kwamba sindano aliyotumia kukuchoma wewe ndio hiyo hiyo ataitumia hadi pale dozi husika itakapoisha...

Ila hiyo ya kutembea na sindano ya mtu husika hapana na sidhani kama ilikuwa hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…