Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Walikuwa wanachemsha kwa kutumia Stovesi unakumbuka kulikuwa kunaweza kuwa na mwanakijiji mmoja anamiliki sindano, anachomea wote ila akimaliza kabla ya mwingine anaichemsha kwenye sufuria tunalopikia ugali, kazi inaendelea. na watu walikuwa wanapona kwa imani.