A syringe used to treat syphilis in 1545

si unakumbuka kulikuwa kunaweza kuwa na mwanakijiji mmoja anamiliki sindano, anachomea wote ila akimaliza kabla ya mwingine anaichemsha kwenye sufuria tunalopikia ugali, kazi inaendelea. na watu walikuwa wanapona kwa imani.
Walikuwa wanachemsha kwa kutumia Stove
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sio kijijini kwako tu bali ni duniani kote hali ilikuwa hiyohiyo ya kuchemsha na kudunga ni hadi ulipoingia Ugonjwa wa AIDS ndipo disposable syringes zikaanza.
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka sasa hapa Dar wanachemsha hivo vifaa kutumika na wengine
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kabisa haya maisha ndio tumekulia sisi ila ilikuwa ni kwamba sindano aliyotumia kukuchoma wewe ndio hiyo hiyo ataitumia hadi pale dozi husika itakapoisha...

Ila hiyo ya kutembea na sindano ya mtu husika hapana na sidhani kama ilikuwa hivyo...
 
Back
Top Bottom