A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

Hivi chonjo kumbe hakutingisha mbona sasa walimtaja sana miaka hiyo , chonjo na Said Migire mianzini
 
Vipi kuhusu mtoto wa Mzee Jubilate Kileo wa Kaloleni yule marehemu?
Hahaha, umenikumbusha mbali, Mtoto wa Marehemu diwani Jubilate Kileo mwenye Miami Beach hotel alikuwa rafiki wa karibu na Mafia mmoja kutoka familia ya Laizer mwenye Palson Hotel kipindi hicho akiwa anamiliki timu ya Mpira ya Palson.

Kama umepita Kaloleni nyumbani kwa J. Kileo utaona marekebisho ya nyumba ya Marehemu Mzee Jubilate...kwakweli inapendeza sana kwasasa.
 
Huyo dreva taxi wa kuitwa Martin alikuwa anatumia njia gani ya mawasiliano kuwapa "codes" manyamera wakiwa porini? Kulikuwa na simu za mikononi miaka hiyo?

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Hayo ni matukio ya juzi Sana between 1998 mpaka 2000++ kumbuka kampuni ya kwanza ya Simu za mikononi Tz ilikuwa Tritel ambayo ilianza kama sikose 90++ au early 20++. Ila katika Hawa waliotajwa wote kwa Sasa wanajificha kwenye mwamvuli wa Chama tawala wakiwa walinzi wa chama
 
Sadiki namkumbuka akija Sana kwa babake pale kwa Brigedia Mkindi karibu na Tanzania breweries na Chemi Cotex.
Alafu kwenye moja wapo ya tukio la Ithinashar nakumbuka Enzi nafanya kazi QRT commander wa private security Co tuliatend pale.
 
Tulia dada huko daslam mmelegea sana huko daslam alijitokeza mtu anaitwa scorpion akamtoboa mtu macho hadharani lakin hakuna msaada wowote alioupata huyo mtobolewa macho sasa ndo ajitokeze mtu na shortgun mtamfanya nini?
Acha uboya huyo aliyemuua demu geto alikuwa na AK47?
 
Teh teh

Ova
 
Halafu majambazi yote yakishatajirika na kustaafu ujifichia kwenye dini na ccm kama walezi au wafadhili wa chama. Zakaria wa Tarime, kitana wa Mwanza. Mtu kama hata amestaafu na alikutenda zamani sasa ndo wakati wa kumlipizia kisasi Ili nae aonje maana huwa wanakua hawana attention yeyeto.
 
Ndo maana magu aliyashughulikia sana haya majizi mengine yakakimbia nchi kina Alex massawe,kigumu,na mapapaa mengi yalikuwa majizi na matapeli thus hayakuwa na uchungu wa kuchezea pesa zao.
Yameharibu Sana sifa za watanzania kimataifa leo atupati dili sababu yao wanaamini watz wote ni wezi. Wazungu na wageni wamelizwa Sana na mapapaa na majizi kwa kuwaaminisha uwekezaji kwenye madini kwamba Wana migodi au watawapa madini wameingia mkataba baada ya kupata tu pesa yanaingia mitini au yanalobby na watu wa serikali wanafanyiwa mizengwe wanatapeliwa pesa zao. yamewatapeli Sana wawekezaji.
 
Hivi Stori ya Nyokaa ni stori ya kweli? Maana Umbwa anavyoichana ni kama Somalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…