Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Viongozi Wenye Maono Duniani kote huwa hawaridhiki kwa kidogo wanachopata. Always hupambana kuhakikisha Ndoto zao zinatimia bila kujali gharama wanazolipa.
Hii ni njia ya mafanikio waliyopita akina Putin Rais wa Urusi, Donald Trump Rais wa Marekani na Viongozi wengine wengi waliofanikiwa Duniani akina Mahatma Ghandi Rais wa Zamani wa India na Nelson Mandela wa Afrika Kusini.
Kwa minajiri hii unaona ni jinsi gani viongozi hawa siku zote husonga mbele bila kujali wamefanikiwa mpaka level gani.
Always they Strive to Achieve Big Goals in their life. Ni watu wachache sana Waliobarikiwa wenye moyo kama huu.
Namtakia Jumapili Njema Mh TAL akae na amani ya Bwana huko aliko.