Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Si umeona chama kinasonga bila yeye kuwepo?And what about Laissez faire leader/administrator!!
Tumjadili Tundu Lissu ambaye mada inamhusu yeyePengine samia ako na presha zaidi kuliko hata Lisu .
Mandela alishawahi kuulizwa " ukifa leo unataka dunia ikukumbuke kwa lipi"?Tumjadili Tundu Lissu ambaye mada inamhusu yeye
Yes Muda mfupi aliopewa na Mungu wa kuishi ametumia kwa mafanikio makubwa na ipasavyo.Mandela alishawahi kuulizwa " ukifa leo unataka dunia ikukumbuke kwa lipi"?
Akasema dunia itanikumbuka kama mtu aliyetiza wajibu wake.
Hata lisu atakumbukwa kama BINADAMU aliyetimiza WAJIBU WAKE.
Mengine mungu ataamua juu yake
Maisha marefu kwa TUNDU LISU
Wengine tulikuja Duniani kula, kulala na kufa basi.Mandela alishawahi kuulizwa " ukifa leo unataka dunia ikukumbuke kwa lipi"?
Akasema dunia itanikumbuka kama mtu aliyetiza wajibu wake.
Hata lisu atakumbukwa kama BINADAMU aliyetimiza WAJIBU WAKE.
Mengine mungu ataamua juu yake
Maisha marefu kwa TUNDU LISU
Hapana mkuu. Kila mtu ana mchango wake kwenye jambo fulani kwa level yake. Hata kulitaja tu jina la lisu nao pia ni mchango. Haingewezekana kwa nchi nzima kuwa kama lisu. Hata Mandela aliitwHAINIWengine tulikuja Duniani kula, kulala na kufa basi.
Umenifumbua Jambo. Asante. Kumbe tunategemeanaHapana mkuu. Kila mtu ana mchango wake kwenye jambo fulani kwa level yake. Hata kulitaja tu jina la lisu nao pia ni mchango. Haingewezekana kwa nchi nzima kuwa kama lisu. Hata Mandela aliitwHAINI
A duty to Protect Justice of the convicted for Visting Justices.ngoja ifike tarehe 30 mwezi 7 ,aendelee kutufundisha sheria na majukumu ya mahakama ni nn