A woman to marry is needed

A woman to marry is needed

Mimi nimesema nataka mke sio mmama,sasa mimi mmama nampeleka wapiwakati homoni zimeanza kushuka ubora nani awe na gogo ndani,raha ya mke awe mbichimbichi wewe,Hata mama yangu mzazi hajawahi kunilea japo ni wajibu wake ndio aje anilee mmama kupitia mapenzi?,over my dead body
Sure haya safari njema
 
Tutekeleze maandiko aisee
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

ISAYA 4​

1.Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Huo wakati umefika tayari. Hili neno huwa linafikirisha sana.
 
Wanawake wa Tukuyu wana maziwa makubwa matako kama piriton😌😇😇😇 wa Kyela ndio matata rangi kama wanyaturu shepu kama wamachame, miguu kama wagogo 🥰
Haa unatutukana mkuu, ningekuonyesha shepu za kinyaki kukuprove wrong ila basi tuache tu, sawa oeni hao wengine ila mtatukumbuka tabia njema zetu😀😀
 
The topic is in English I wonder why almost all people respond in Kiswahili. Truly, English is a disaster in Tz 🤣🤣
 
Back
Top Bottom