Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tuvijana twa siku hizi.... Tunapenda sana.
1. Kulelewa na mijimama
2. Kudanga
3. Kuwa Chawa
4. Kuwa NDO BASI TENA (MASHOGA)
Yaani hawataki kazi za wima, kazi sugu na kazi za kazi. Wanataka kuinama tu au kukalia kitu wapate pesa. Yaan unashangaa kakijana kanamwona mmama ana gari kanaanza kulambalamba lips n.k
Nimekakuta kamoja kanamwangalia demu wangu mtu mzima flan wa early 40s. Pale Mcity. Demu wangu wa ukweli ana push X5 black ya maana hasa. Kakijana kammfuatilia mpaka ameingia sehemu anakunywa kahawa ananisubiri. Kumbe naye kakaona.
Kakaingia nako kakaenda kaa opp yake. Kakaanza kufanya mbwembwe. Bahati mbaya huyu demu anadharau sana kwa hutu tuvijana. Anapenda kuwaita tuvulana tunatonuka maziwa. Kakamkonyeza. Ndo akapandisha mashetani ya kichaga kukafata kukatandika vibao... Nimefika nakuta zogo walinzi wanakatoa na demu wangu amefura anakawashia moto.
Nauliza nini.. anasema hiki kitoto kinanuka maziwa na mikojo kinanikonyeza mimi... Kimbwa hiki ndo maana vinageuzwa kama mabinti. Ikabidi nimtulize mchanga yule isiwe nongwa. Na tukahama hapo maana ilishakuwa issue.
Vitoto vya siku hizi vimekaa mitego ya kutaka kulelewa. Yaani ni shida sana. Sijui nini chanzo. Na hii imepelekea kuongezeka wale NDO BASI TENA. Maana mwanaume ukishaliwa Radius ndo basi tena hubakiwi na kitu. Vivulana vinataka maisha ghali ila kazi havitaki.