Aaliyaah Mohamed mtanagzaji wa Refresh Wasafi tv ananikosha Sana

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee.

Namkubali Sana huyu bi_dada popote alipo mpeni salam zangu, msimu huu wa Corona

 
Wakawaida Sana, Kawa ni barabara ni ya Kiwango cha Vumbi, ajavuka hata kiwango cha changalawe
Watanzania mnamaneno ya kebehi kweli,Hayo usemayo wewe kuna mtu hapo usijekuta usiku na mchana halali kwa huyo demu
 
Watanzania mnamaneno ya kebehi kweli,Hayo usemayo wewe kuna mtu hapo usijekuta usiku na mchana halali kwa huyo demu
..............Ni kweli ila huyo asiyelala atakuwa ni yeye ila kwa wengine huyo ni wa kawaida tu,hizo rangi rangi wanazojipaka changanya na camera 360 ndo maana unamuona mzuri ukitaka kujua asili yake mkute ndo ameamka asubuhi!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Demu ni mkali ila me napenda Sana utangazaji wake ana sauti nzuri Sana
 
Umeongea Point sana Mkuu Jamaa anataka kulazimisha Wote waone kama anavyoona yeye bidhaa ya Kawaida Sana hiyo
 
Kabla ya wasafi alikuwa media gani?
Walau namemsikia Cathe radio kadhaa kabla ya kujiunga hapo wasafi ana mkopi demu mmoja yuko kiss fm ya Kenya if not mistaken anaitwa Rae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…