Aaliyaah Mohamed mtanagzaji wa Refresh Wasafi tv ananikosha Sana

Aaliyaah Mohamed mtanagzaji wa Refresh Wasafi tv ananikosha Sana

Manzi mkali bana acheni kudiss.....mnapoponda kujeni na facts demu mkali awaje maana naona sjui makeup sjui rangi mi nachoona kuna watu weupe na si wakali na pia wengne wanapaka makeup ila hawakoshi ila ka aaliyah anahitaji pongezi kwa nini asisifiwe bila kuangalia tija kama sijui rangi sijui chura nk....mademu wakali ni hawa mamodo sura flani tamu rangi inaonekana ila io sjui chura sjui nn n mizuri kwenye nguo tu
Hao hao wanaomponda wakikuonyesha mademu zao utachoka kabisa , huyo binti rangi yake ni hvo hvo , hata ukimchek kwenye interview sasa mtu anakuja et makeup , ooh sjui nin blah blah kbao ......
 
Back
Top Bottom