Nakumbuka Maalim Seif na wenzake walishitakiwa na kesi ya Uhaini , Nakumbuka Wazenji nchi nzima ya Zanzibar waliandamana ,yote ni kupinga dhuluma za CCM. Nakumbuka polisi na majeshi hupelekwa Zanzibar kila unapokaribia uchaguzi kwa kutekeleza agizo la CCM kuwakandamiza wazenji na atakae nyanyua kidole mshughulikieni, nakumbuka waliotumwa wanayatekeleza na wazenji wengi wamepoteza maisha na wengine kubakia vilema ,navuta picha kama ya wapalestina na waziraeli ,ila hapa Tanzania ni majini tunaojuwana.
Nayakumbuka niliyoyaandika ni kuona kama WaTanganyika wataandamana kupinga mambo ya uchaguzi, kama wataandamana kupinga hukumu au uwepo wa Lisu akiwa na tuhuma za kesi ya uhaini.
Au watabakia mitandanoni tu na kuhandika maneno meeeengi ya kwenda mwezini kwa miguu ,itakuwa wameshindwa na wanaowaita ndungu zao wa Zanzibar.
WaZanzibar wamefanikiwa na wapo mguu moja ndani mguu moja nje,serikalini.
Niliwahi kuwaambia hivi vyama vya upinzani mara tu baada ya uchaguzi uliopita ,wasisubiri kesho uchaguzi leo ndio mnakuja na kama hakuna hili na hilo halipo. zimebaki siku tatu ,mnadai tume huru,nakaribia kusema VIONGOZI wa upinzani mpo pamoja na CCM katika kuwazalilisha waTanganyika na WaZanzibari.
Hata yule Mabukusi nae nilimsikia juzi akisema yapo yanayoweza kufanywa ,hivi miaka minne iliyopita hawakuliona hili au wakilinda matumbo yao.
Sasa mnaipa ushindi wa bure CCM kwa kuzusha hisia za uhaini mnajua fika mtawakosesha wananchi haki ya kuchagua chama kingine na kuiwacha CCM inachukua ushindi wa che, inakuwaje miaka minne imepita ? Mlikuwa wapi ? Kama nyinyi hampo na CCM mpo na naani ? ,wananchi waliovyama vya upinzani ambao nyinyi wanaamini ndio viongozi wao ? Hapana nyinyi viongozi mnaozuka sasa na kudai hili na lile mupo nyuma ya pazia mpo na CCM.
Abaa nsogezea halua na kahawa ntaka waona machogo, mara hii nzamu yao kuingia barabarani ,wapemba tun'jichokea vyetu.
niwasikie na zile kauli zao, ngumi tiyari nani atamwambia mwenziwe kama mwanamme kweli ruka mstari ,naona kama waccm weshaluka mstari.