Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
- #21
Umeona eehMambo ya nyakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eehMambo ya nyakati
Hahahaha..mkuu hiyo sekta yako...yule mwenzio hivi simuoni humu siku hiziUshirikina je!?
[emoji2][emoji2][emoji2]yukoHahahaha..mkuu hiyo sekta yako...yule mwenzio hivi simuoni humu siku hizi
#rakims
yaan sitaki kukumbuka walivyotufungia kwa muda hapa JF, nilisikia kama homa lakini sio homa hata sielewi nilikuwa nasikiaje..from that day morale iliisha kabisa jaman..JF ya zamani mambo ilikuwa fayaaaaa...ila with time itarudi tena naaminiKitambo sana
Jf ya enzi hizooo ilikuwa fireeeee
Siku hizi dah..ndio maana wengi waliochangia huu uzi hawapo humu jf
Either wameona utoto umezidi,au majukumu,afya na wengine labda hatukonao duniani(rip)