Abarikiwe aliyetoa wazo la kuanzisha JF

Abarikiwe aliyetoa wazo la kuanzisha JF

Kitambo sana
Jf ya enzi hizooo ilikuwa fireeeee

Siku hizi dah..ndio maana wengi waliochangia huu uzi hawapo humu jf

Either wameona utoto umezidi,au majukumu,afya na wengine labda hatukonao duniani(rip)
yaan sitaki kukumbuka walivyotufungia kwa muda hapa JF, nilisikia kama homa lakini sio homa hata sielewi nilikuwa nasikiaje..from that day morale iliisha kabisa jaman..JF ya zamani mambo ilikuwa fayaaaaa...ila with time itarudi tena naamini
 
Back
Top Bottom