Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
lete andiko acha manenoHulijui? subiri mafuriko ya laana kwako na familia yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lete andiko acha manenoHulijui? subiri mafuriko ya laana kwako na familia yako
Wewe hatutaelewana kwasababu unaichambua hii vita kibibilia (emotionally) mimi naichambua kiuhalisia (logically) kwahiyo ni mimi na wewe ni mbingu na ardhi.Mungu wa mbingu na nchi sio kigeugeu, alishasema ailaaniye Israel amelaaniwa na Mungu, hawa mashoga achana nao, maana wana moto wao mkali sana. Hakuna waarabu mashoga? mbona wanabarikiwa? Mungu alimbariki Ismael baba wa waarabu, hata waarabu wote wawe mashoga still bado watabarikiwa. Na mwisho wa yote moto wa milele unawasubiri. Hivyo endelea kuilaani Israel soon utaona mafuriko ya laana
Ngoja Tuanze na Genesis 12: 1-3Genesis 12:1-3, Numbers 24: 9 na mengine mengi tuu
Wewe upo kwenye kifungo cha imani. Hivi unadhani kila mtu anamuamini Mungu wako wa israeli kama wewe? Wapo wahindi , wakorea , wachina , wajapan wana miungu yao .na wapo ambao hawana kabisa hiyo Miungu.Ipo hivi kaka yangu, Mungu aliyeziumba mbingu na dunia amesema kua atakayeilaani Israel atalaaniwa, kama huamini sasa anza kumonitor maisha yako, uchumi wako, mwenendo wa familia yako na ukoo wako, utaanza kunote laana inaanza kutembea katika nyumba yako. Najua ukipata majibu na kuona umeanza kulaanika hutarudi humu kusema chochote, ila believe me kwa kuilaani kwao Israel humu, mafuriko ya laana yataanza kuaznia sasa. Nakuhurumia sana ila hakuna namna. Hata mimi wakati mwingine nawaonea huruma wale watoto wa Gaza ila neno limeshipigiwa mstari, watoto wa Gaza wanahukumiwa kwasababu ya laana ya wazazi wao wanaoilaani srael, kaka yangu achana na kuilaani Israel, utalaanika vibaya sana.
Wewe haupo sawa kichwani. Nchi inaua maelfu ya watoto wasiyo na hatia huko palestina halafu unasema atakaeilaani nae atalaaniwa hivi wewe una tofauti gani na mtu anaesema ukiuwa watu wasiyo waislamu utapata bikira 72 peponi? Acha kuwa mjinga weweYes wapo lakini hawailaani Israel, hapa tunachoongelea ni mtu au taifa watakaomlaani Israel na wao watalaaniwa, haijalishi anaamini Mungu yupi. Kuna wakristo humu wanailaani Israel, nao wataaniwa
Wewe ndo yule eti mimi ni mkristo lakini napinga na kuilaani Israel dhidi ya palestina.Pdidy sometimes shirikisha ubongo wako..ulipewa ubongo for a reason. Inasikitisha Sana kuona mtu mzima unaburuzwa kama kipofu
Hayo matoto ni terror bred future terrorists.Wewe haupo sawa kichwani. Nchi inaua maelfu ya watoto wasiyo na hatia huko palestina halafu unasema atakaeilaani nae atalaaniwa hivi wewe una tofauti gani na mtu anaesema ukiuwa watu wasiyo waislamu utapata bikira 72 peponi? Acha kuwa mjinga wewe
Huna akili kichwani unaendeshwa na emotionsHayo matoto ni terror bred future terrorists.
NO MERCY maamae!
Kwahiyo unataka wakristo wote waunge mkono genocide huko Gaza? Mtabaki nyie wakristo wa Tanzania labda huko kwengine wakristo wanaojitambua hawawezi kuunga mkono huo upuuzi.Wewe ndo yule eti mimi ni mkristo lakini napinga na kuilaani Israel dhidi ya palestina.
Sasa kama wewe ni mkristo ili iweje nyau wewe.
Ulaaniwe wewe mkristo uchwara. Unamuabisha Yesu.Kwahiyo unataka wakristo wote waunge mkono genocide huko Gaza? Mtabaki nyie wakristo wa Tanzania labda huko kwengine wakristo wanaojitambua hawawezi kuunga mkono huo upuuzi.
Napata baraka kubwa sana kuwalaani wauwaji.Ulaaniwe wewe mkristo uchwara. Unamuabisha Yesu.
Huyu wanatakiwa wamfi&% ndo akili itatuliaUpo sahihi kabisa. Hata wakija nchini kwetu kuvamia na kuua na kusema Ardhi ya Arusha wamepewa na Bwana sisi tuwabariki tu na tusiwalaani kama maandiko yalivyoagiza. HAKIKA KWA UNYENYEKEVU NA UAMINIFU ULIONAO KTK MAANDIKO HATA WAKIJA NA KUSEMA MKE WAKO NI MALI YAO WEWE WABARIKI TU na hakika Mbingu utaiona
wanaoiunga mkono izrael wote ni LGBTQ6 Utakieni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao;
Zaburi 122:6
I stand with Israel
Usiwe una quote comments zangu please. We endelea kuwabariki hao waisrael achana na mimi kabisa. Kila mtu ana ukristu wake na alibatizwa peke yake.Wewe ndo yule eti mimi ni mkristo lakini napinga na kuilaani Israel dhidi ya palestina.
Sasa kama wewe ni mkristo ili iweje nyau wewe.
Heshima kwako mkuu.Usiwe una quote comments zangu please. We endelea kuwabariki hao waisrael achana na mimi kabisa. Kila mtu ana ukristu wake na alibatizwa peke yake.
Ni mimi ndio nilisema hivyo kwa hiyo unasemaje?
Pita kushoto ukiona post au comment yangu Sina urafiki na mashoga wasiotumia akili mimi
WaaapiiiiWana wa Israel waliposhindwa kuyafanya mapenzi ya Mungu, Mungu aliwakataa kabisa that's why wanataabika Hadi leo
Hadhi waliyokuwa nayo before Mungu akaihamishia Kwa mataifa mengine
So Myahudi wa Sasa ni sawa na Mmatumbi wa Singida au Mgogo wa Lindi