Abarikiwe anayeibariki Israel alaaniwe anayeilaani Israel

Wewe hatutaelewana kwasababu unaichambua hii vita kibibilia (emotionally) mimi naichambua kiuhalisia (logically) kwahiyo ni mimi na wewe ni mbingu na ardhi.
 
Genesis 12:1-3, Numbers 24: 9 na mengine mengi tuu
Ngoja Tuanze na Genesis 12: 1-3

Inasema hivi

1The LORD said to Abram: Go forth* from your land, your relatives, and from your father's house to a land that I will show you.

2* I will make of you a great nation, and I will bless you; I will make your name great, so that you will be a blessing.

3c I will bless those who bless you and curse those who curse you.

SASA WAPI PANAZUNGUMZIWA TAIFA LA ISRAEL hapo?
 
Wewe upo kwenye kifungo cha imani. Hivi unadhani kila mtu anamuamini Mungu wako wa israeli kama wewe? Wapo wahindi , wakorea , wachina , wajapan wana miungu yao .na wapo ambao hawana kabisa hiyo Miungu.
 
Yes wapo lakini hawailaani Israel, hapa tunachoongelea ni mtu au taifa watakaomlaani Israel na wao watalaaniwa, haijalishi anaamini Mungu yupi. Kuna wakristo humu wanailaani Israel, nao wataaniwa
Wewe haupo sawa kichwani. Nchi inaua maelfu ya watoto wasiyo na hatia huko palestina halafu unasema atakaeilaani nae atalaaniwa hivi wewe una tofauti gani na mtu anaesema ukiuwa watu wasiyo waislamu utapata bikira 72 peponi? Acha kuwa mjinga wewe
 
Pdidy sometimes shirikisha ubongo wako..ulipewa ubongo for a reason. Inasikitisha Sana kuona mtu mzima unaburuzwa kama kipofu
Wewe ndo yule eti mimi ni mkristo lakini napinga na kuilaani Israel dhidi ya palestina.

Sasa kama wewe ni mkristo ili iweje nyau wewe.
 
Wewe haupo sawa kichwani. Nchi inaua maelfu ya watoto wasiyo na hatia huko palestina halafu unasema atakaeilaani nae atalaaniwa hivi wewe una tofauti gani na mtu anaesema ukiuwa watu wasiyo waislamu utapata bikira 72 peponi? Acha kuwa mjinga wewe
Hayo matoto ni terror bred future terrorists.

NO MERCY maamae!
 
Wewe ndo yule eti mimi ni mkristo lakini napinga na kuilaani Israel dhidi ya palestina.

Sasa kama wewe ni mkristo ili iweje nyau wewe.
Kwahiyo unataka wakristo wote waunge mkono genocide huko Gaza? Mtabaki nyie wakristo wa Tanzania labda huko kwengine wakristo wanaojitambua hawawezi kuunga mkono huo upuuzi.
 
Kwahiyo unataka wakristo wote waunge mkono genocide huko Gaza? Mtabaki nyie wakristo wa Tanzania labda huko kwengine wakristo wanaojitambua hawawezi kuunga mkono huo upuuzi.
Ulaaniwe wewe mkristo uchwara. Unamuabisha Yesu.
 
Huyu wanatakiwa wamfi&% ndo akili itatulia
 
Wewe ndo yule eti mimi ni mkristo lakini napinga na kuilaani Israel dhidi ya palestina.

Sasa kama wewe ni mkristo ili iweje nyau wewe.
Usiwe una quote comments zangu please. We endelea kuwabariki hao waisrael achana na mimi kabisa. Kila mtu ana ukristu wake na alibatizwa peke yake.

Ni mimi ndio nilisema hivyo kwa hiyo unasemaje?

Pita kushoto ukiona post au comment yangu Sina urafiki na mashoga wasiotumia akili mimi
 
Wana wa Israel waliposhindwa kuyafanya mapenzi ya Mungu, Mungu aliwakataa kabisa that's why wanataabika Hadi leo

Hadhi waliyokuwa nayo before Mungu akaihamishia Kwa mataifa mengine

So Myahudi wa Sasa ni sawa na Mmatumbi wa Singida au Mgogo wa Lindi
 
Heshima kwako mkuu.
 
Waaapiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…