Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
إنا لله و إنا إليه راجعونMtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali ya Lumumba Mjini Unguja.
Abbas Mwinyi ni Mtoto wa Mstaafu Marehemu Mzee Mwinyi ambae kabla ya umauti wake alikua msemaji wa Familia mara baada ya kifo cha Baba yao.
View attachment 3478586
===
Abbas Ali Hassan Mwinyi alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Fuoni kwa miaka 2015 – 2020. Abbas alikuwa msomi, rubani wa ndege na nahodha wa meli.
View attachment 3478585
إنا لله و إنا إليه راجعونMtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali ya Lumumba Mjini Unguja.
Abbas Mwinyi ni Mtoto wa Mstaafu Marehemu Mzee Mwinyi ambae kabla ya umauti wake alikua msemaji wa Familia mara baada ya kifo cha Baba yao.
Pia aliwahi kuwa Mbunge wa Fuoni kati ya mwaka 2015 – 2020.
Mbali na siasa, Abbas Mwinyi alikuwa, rubani wa ndege na pia nahodha wa meli.
Wakeze Mzee ndio shombeshombeMwenyezimungu ampe khauli thabit inshaalah .
Halafu mbona kama shombeshombe fulani hivi ,au Mzee Alli Mwinyi alikuwa Marabu ?
😂😂😂 tupo mzibani acha ukorofiDa wazenji wanafanana sana✌️.
Macho na sura inafanana na ya mwafulani