James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,152
- 4,003
Mwanajua😁😁😁Da wazenji wanafanana sana✌️.
Macho na sura inafanana na ya mwafulani
Mwanajua😁😁😁Da wazenji wanafanana sana✌️.
Macho na sura inafanana na ya mwafulani
Wahenga wanasema "Death is the best democracy" sijui nimekosea ila nahisi ndiyo hivyo.Kumbe nao wanakufaga
Huyu na mamaye ndio wenye mali za Benson kule Arusha, Benson kawekwa tu Sheikh🤣🤣🤣...huyu alikuwa msumbufu sana na pikipiki zake mtaanihuyo jamaa ndiyo mwanzilishi wa watoto wa maraisi kusumbua kwa maskandali yeye na mamake, kipindi cha babake ndo alikuwa kama akina dula, Mrema aliwashika na mamake airport, lkn kipindi kile angalau tulikuwa na uwajibikaji fikiria leo hii labda bashugwa amshike dula au babake airport, linawezekana hilo?
rip Mrema ...
Ni Captain siyo Captein, nyumbu nyie.Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali ya Lumumba Mjini Unguja.
Abbas Mwinyi ni Mtoto wa Mstaafu Marehemu Mzee Mwinyi ambae kabla ya umauti wake alikua msemaji wa Familia mara baada ya kifo cha Baba yao.
View attachment 3478587
Mkuu tusimulie kidogo... comment Yako inafanya vijana wote wa GEN Z wawe na adabu maana niki approximate umri wa abassi hakosi 50'sAbbas katusumbua sana Oysterbay Hotel miaka hiyo.
RIP.
Pole kwa familia.
Kaka nakusalimia ndugu..nimekua nzito sana siku IZIII kuandika andika..Apumzike kwa amani
Abbas was 60 years old.Mkuu tusimulie kidogo... comment Yako inafanya vijana wote wa GEN Z wawe na adabu maana niki approximate umri wa abassi hakosi 50's
Yes, siku hazigandi..na Duniani ni mapito..
Asante sanaaaaaa kaka kiranga kwa haya madini.Abbas was 60 years old.
Alikuwa na Mitsubishi Pajero Intercooler Turbo lake moja. Miaka hiyo Pajero ndoyo zinatamba mjini.
Pajero mtama kwa watoto, matata sana. Akipita mtaani lazima warembo wapige kelele "Abasiiii".
Mitaa ya Oysterbay alijulikana sana kuwa mtu wa matukio ambaye ukimpa nafasi kusema tu lazima inakula kwako kwa sababu mdomo mali yake na Kiswahili kimetoka kwao.
Pole kaka karibu sana kigamboni 😎Kaka nakusalimia ndugu..nimekua nzito sana siku IZIII kuandika andika..
Shukrani sanaa brother. Kuna huyu rafiki yangu mmoja Monetary doctor tangia tumefungiwa Jf sijamuona na shida nae sijui nampataje?Pole kaka karibu sana kigamboni 😎
Kipindi hicho msemo wa "hapendwi mtu inapendwa pajero" ulikuwa msemo maarufu.Abbas was 60 years old.
Alikuwa na Mitsubishi Pajero Intercooler Turbo lake moja. Miaka hiyo Pajero ndiyo zinatamba mjini.
Pajero mtama kwa watoto, matata sana. Akipita mtaani lazima warembo wapige kelele "Abasiiii".
Mitaa ya Oysterbay alijulikana sana kuwa mtu wa matukio ambaye ukimpa nafasi kusema tu lazima inakula kwako kwa sababu mdomo mali yake na Kiswahili kimetoka kwao.
Hiyo ndinga ilikuwapo home ukiingia ndani full AC ni kama upo katika ndege ya chinichini.Kipindi hicho msemo wa "hapendwi mtu inapendwa pajero" ulikuwa msemo maarufu.
Intercooler mistsubishi pajero ilikuwa ni moja wapo za ndinga kali zilizotingisha.