TANZIA Abbas Mwinyi Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

huyo jamaa ndiyo mwanzilishi wa watoto wa maraisi kusumbua kwa maskandali yeye na mamake, kipindi cha babake ndo alikuwa kama akina dula, Mrema aliwashika na mamake airport, lkn kipindi kile angalau tulikuwa na uwajibikaji fikiria leo hii labda bashugwa amshike dula au babake airport, linawezekana hilo?

rip Mrema ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…