TANZIA Abbas Mwinyi Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Nakumbuka enzi zilee alikuwa kamuoa Lulu mtoto wa uswahilini sijui mbagala au buguruni yule?

Alikuwa na kile kigari kina funguka milango kwa juu alitesa sana mjini.

Ndiyo enzi hizo magazeti ya uwazi yameanza ilikuwa story pia.

Ila jamaa alikuwa mkimya ila alikuwa na fujo za chini chini.
 
Huyu na mamaye ndio wenye mali za Benson kule Arusha, Benson kawekwa tu Sheikh🤣🤣🤣...huyu alikuwa msumbufu sana na pikipiki zake mtaani
 
Ni Captain siyo Captein, nyumbu nyie.
 
Mkuu tusimulie kidogo... comment Yako inafanya vijana wote wa GEN Z wawe na adabu maana niki approximate umri wa abassi hakosi 50's

Yes, siku hazigandi..na Duniani ni mapito..
Abbas was 60 years old.

Alikuwa na Mitsubishi Pajero Intercooler Turbo lake moja. Miaka hiyo Pajero ndiyo zinatamba mjini.

Pajero mtama kwa watoto, matata sana. Akipita mtaani lazima warembo wapige kelele "Abasiiii".

Mitaa ya Oysterbay alijulikana sana kuwa mtu wa matukio ambaye ukimpa nafasi kusema tu lazima inakula kwako kwa sababu mdomo mali yake na Kiswahili kimetoka kwao.
 
Huyu mwamba alikuwa hataree!!!!
Muhimu alijua kula keki ya taifa na mashangingi

Nakumbuka aliwahi ku share
mwanamke na rais wa Zanzibar kama sijakosea jina alikuwa akiitwa Dr amour.
Muhimu apumzike kwa amani.
 
Asante sanaaaaaa kaka kiranga kwa haya madini.
 
Kipindi hicho msemo wa "hapendwi mtu inapendwa pajero" ulikuwa msemo maarufu.

Intercooler mistsubishi pajero ilikuwa ni moja wapo za ndinga kali zilizotingisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…