Abby Chams ni Vee Money in the making?

Abby Chams ni Vee Money in the making?

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Natafsiri: Je, Abby Chams ni Vee Money (Vanessa Mdee) ajaye?

Tunakumbuka Vanessa wakati anaanza muziki, alikuwa anajitafuta sana hadi akajipata.

Aliingia kwenye game na uzungu mwingi (no pun intended) lakini ikawa ngumu kutoboa. Akajaribu kuchanganya na kuipata ladha ya muziki wa nyumbani. Soko likamuelewa. Yaliyofuata ni historia.

Njia ile ile aliyopita Vanessa Mdee, ndiyo hii hii naiona anapita Abby Chams. Namuona anajitafuta, atajipata tu.

Abby alianza na Gospel, japo ni muimbaji mzuri na alizitendea haki, lakini mainstream haikumuelewa.

Sasa amegeukia Bongo Fleva lakini nae kama ilivyokuwa kwa Vee, ameanza na uzungu mwingi. Atakaa sawa tu [emoji28]

Namtakia kila la heri. Naona ufanano mwingi katika njia zake na za Vee. Na kwa waliopenda muziki mzuri na swags za Vee Money, nina uhakika watazipata kwa Abby Chams. Tuombe uzima tu.

Vee alitukosea kuacha muziki angali bado tunamuhitaji. Kama Abby Chams ni rebirth au reincarnation ya Vee, basi na iwe hivyo!
 
damu-ya-yesu-piano-cover-abby-chams.jpeg
 
Huyu anaimba vanesa akasome, international vocalist.
Wee punguza muhaho, huyo vanessa hana wa kumkuta hapa Bongo kwa upande wa wanawake, ndo umlingnishe ja huyu mdada? Tafadhari san muache mama buttah ana dunia yake ktk tasnia ya music Bongo msieeeeew
 
Katika waimbaji wa hovyo kuwahi kutokea hii nchi basi ni vannesa mdee , Bora Tu alivyoacha baada ya kunogewa na mjarubamu wa mnaigeria ...!!! Huyo dogo ana vocal hatari Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Vanessa anakutesa sana? Poleeeeh kunywa maji mengi na u relaaaaax,
Vanessa ana dunia yake ktk tasnia ya music Bongo, na kwa wanawake hana wa kumkuta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Vanessa anakutesa sana? Poleeeeh kunywa maji mengi na u relaaaaax,
Vanessa ana dunia yake ktk tasnia ya music Bongo, na kwa wanawake hana wa kumkuta.

Sina uteam Ila Vanessa anajua
Na muziki wake umetulia
 
Huyu anaimba vanesa akasome, international vocalist.
Put some respect on Vee's name dude. This young girl is cool but I guess she will become nothing but the replica of Cash Madame.
 
Huyu binti ni pure talent + kasoma muziki pia nadhani...hivyo akikomaa atatoboa sana
 
Back
Top Bottom