Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Watu tishaanza msg mudaTatizo kuna mijamaa yenye uchu itakuwa inampigia hesabu kali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tishaanza msg mudaTatizo kuna mijamaa yenye uchu itakuwa inampigia hesabu kali sana.
Huyu Kwanza Family yake aina shida aina maisha ya kuunga unga.Babu yake mzaa Baba akuwaacha vibaya- Baba ake nae sio wa Mchezo Mchezo! atafika mbali tena sana! na ana pata ushauri wa jinsi gani ya kuingia kwenye game-Wasafi wenyewe kila kukicha wanamgombania kwa huyu awana masharti! akitaka ata jana wanamsajiri😁Natafsiri: Je, Abby Chams ni Vee Money (Vanessa Mdee) ajaye?
Tunakumbuka Vanessa wakati anaanza muziki, alikuwa anajitafuta sana hadi akajipata.
Aliingia kwenye game na uzungu mwingi (no pun intended) lakini ikawa ngumu kutoboa. Akajaribu kuchanganya na kuipata ladha ya muziki wa nyumbani. Soko likamuelewa. Yaliyofuata ni historia.
Njia ile ile aliyopita Vanessa Mdee, ndiyo hii hii naiona anapita Abby Chams. Namuona anajitafuta, atajipata tu.
Abby alianza na Gospel, japo ni muimbaji mzuri na alizitendea haki, lakini mainstream haikumuelewa.
Sasa amegeukia Bongo Fleva lakini nae kama ilivyokuwa kwa Vee, ameanza na uzungu mwingi. Atakaa sawa tu [emoji28]
Namtakia kila la heri. Naona ufanano mwingi katika njia zake na za Vee. Na kwa waliopenda muziki mzuri na swags za Vee Money, nina uhakika watazipata kwa Abby Chams. Tuombe uzima tu.
Vee alitukosea kuacha muziki angali bado tunamuhitaji. Kama Abby Chams ni rebirth au reincarnation ya Vee, basi na iwe hivyo!
Nenda kasikilize hii nyimbo...Sijawahi kumfuatilia Sarafina. Sijui chochote kumhusu.
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.Wee punguza muhaho, huyo vanessa hana wa kumkuta hapa Bongo kwa upande wa wanawake, ndo umlingnishe ja huyu mdada? Tafadhari san muache mama buttah ana dunia yake ktk tasnia ya music Bongo msieeeeew
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.Put some respect on Vee's name dude. This young girl is cool but I guess she will become nothing but the replica of Cash Madame.
Again, put some respect on Vee's name.Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.
She's more of a performing artist than studio artist (kama huyo vee wako). Bongo ni wachache Sana wanafikia level za huyu dogo trust me.
Vee ni maunda Zorro aliyechangamka tuAgain, put some respect on Vee's name.
Kila mtu anapewa heshima anayostahili vee yake ndiyo hiyo niliyompatia na huyu dogo mwenye kipaji cha kimataifa nampa respect yake Kwa nguvu zote.Sawa mkuu. Hata Maunda Zorro anastahili heshima yake.
Hawa wote ni talented sisters. Have some respect.
The melanin queen..huyu demu anaambia kinoma.Sarafina nadhani ndio, Vanessa in the making. Abby anajua ila bado anajitafuta kama ulivyosema.
huyu clouds ipo behind na kushinda BSS imempa push pia. Tatizo anakuja kama replacement ya vanessa, kuanzia type of songs, muonekano hadi melodies..
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.
She's more of a performing artist than studio artist (kama huyo vee wako). Bongo ni wachache Sana wanafikia level za huyu dogo trust me.
Bora hata useme wewee lol.Abby ana talent YES
Talent ambayo kibongo bongo ni wachache YES
anaweza kuingia kwenye mainstream ya dunia, [emoji54]nampa hamsini kwa hamsini maana kutoboa duniani haswa US na unaimba kam wao ni ngumu. Muulize Tiwa aliyefikia level za kupiga back up singer kwa legendaries kama whitney houston ila hakutoboa hadi alivyoridishwa na Mavins Nigeria ndio akawa Tiwa Unaemjua
Elewa Abby kapewa investment toka yupo mdogo. Mtoto anacheza na piano plus music classes kwa hiyo technically yupo vizuri ila vocal abilities, hajafikia ya Ruby hivyo, Hajafikia level za kusema Vanessa is nothing talent wise