Abby Chams ni Vee Money in the making?

Abby Chams ni Vee Money in the making?

Natafsiri: Je, Abby Chams ni Vee Money (Vanessa Mdee) ajaye?

Tunakumbuka Vanessa wakati anaanza muziki, alikuwa anajitafuta sana hadi akajipata.

Aliingia kwenye game na uzungu mwingi (no pun intended) lakini ikawa ngumu kutoboa. Akajaribu kuchanganya na kuipata ladha ya muziki wa nyumbani. Soko likamuelewa. Yaliyofuata ni historia.

Njia ile ile aliyopita Vanessa Mdee, ndiyo hii hii naiona anapita Abby Chams. Namuona anajitafuta, atajipata tu.

Abby alianza na Gospel, japo ni muimbaji mzuri na alizitendea haki, lakini mainstream haikumuelewa.

Sasa amegeukia Bongo Fleva lakini nae kama ilivyokuwa kwa Vee, ameanza na uzungu mwingi. Atakaa sawa tu [emoji28]

Namtakia kila la heri. Naona ufanano mwingi katika njia zake na za Vee. Na kwa waliopenda muziki mzuri na swags za Vee Money, nina uhakika watazipata kwa Abby Chams. Tuombe uzima tu.

Vee alitukosea kuacha muziki angali bado tunamuhitaji. Kama Abby Chams ni rebirth au reincarnation ya Vee, basi na iwe hivyo!
Huyu Kwanza Family yake aina shida aina maisha ya kuunga unga.Babu yake mzaa Baba akuwaacha vibaya- Baba ake nae sio wa Mchezo Mchezo! atafika mbali tena sana! na ana pata ushauri wa jinsi gani ya kuingia kwenye game-Wasafi wenyewe kila kukicha wanamgombania kwa huyu awana masharti! akitaka ata jana wanamsajiri😁
 
Wee punguza muhaho, huyo vanessa hana wa kumkuta hapa Bongo kwa upande wa wanawake, ndo umlingnishe ja huyu mdada? Tafadhari san muache mama buttah ana dunia yake ktk tasnia ya music Bongo msieeeeew
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.

She's more of a performing artist than studio artist (kama huyo vee wako). Bongo ni wachache Sana wanafikia level za huyu dogo trust me.
 
Put some respect on Vee's name dude. This young girl is cool but I guess she will become nothing but the replica of Cash Madame.
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.

She's more of a performing artist than studio artist (kama huyo vee wako). Bongo ni wachache Sana wanafikia level za huyu dogo trust me.
 
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.

She's more of a performing artist than studio artist (kama huyo vee wako). Bongo ni wachache Sana wanafikia level za huyu dogo trust me.
Again, put some respect on Vee's name.
 
Sawa mkuu. Hata Maunda Zorro anastahili heshima yake.

Hawa wote ni talented sisters. Have some respect.
Kila mtu anapewa heshima anayostahili vee yake ndiyo hiyo niliyompatia na huyu dogo mwenye kipaji cha kimataifa nampa respect yake Kwa nguvu zote.
 
The melanin queen..huyu demu anaambia kinoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu clouds ipo behind na kushinda BSS imempa push pia. Tatizo anakuja kama replacement ya vanessa, kuanzia type of songs, muonekano hadi melodies..

i wish angekuja kivyake tu kama alivyoimba sijutii
 
Wewe hujui mziki vee money ni msanii huyu ni mwanamziki, the level of talent the girl has is international huyu ata international platform anafika na anacompete vizuri tu.

She's more of a performing artist than studio artist (kama huyo vee wako). Bongo ni wachache Sana wanafikia level za huyu dogo trust me.

Abby ana talent YES

Talent ambayo kibongo bongo ni wachache YES

anaweza kuingia kwenye mainstream ya dunia, 😯nampa hamsini kwa hamsini maana kutoboa duniani haswa US na unaimba kam wao ni ngumu. Muulize Tiwa aliyefikia level za kupiga back up singer kwa legendaries kama whitney houston ila hakutoboa hadi alivyoridishwa na Mavins Nigeria ndio akawa Tiwa Unaemjua

Elewa Abby kapewa investment toka yupo mdogo. Mtoto anacheza na piano plus music classes kwa hiyo technically yupo vizuri ila vocal abilities, hajafikia ya Ruby hivyo, Hajafikia level za kusema Vanessa is nothing talent wise
 
Abby ana talent YES

Talent ambayo kibongo bongo ni wachache YES

anaweza kuingia kwenye mainstream ya dunia, [emoji54]nampa hamsini kwa hamsini maana kutoboa duniani haswa US na unaimba kam wao ni ngumu. Muulize Tiwa aliyefikia level za kupiga back up singer kwa legendaries kama whitney houston ila hakutoboa hadi alivyoridishwa na Mavins Nigeria ndio akawa Tiwa Unaemjua

Elewa Abby kapewa investment toka yupo mdogo. Mtoto anacheza na piano plus music classes kwa hiyo technically yupo vizuri ila vocal abilities, hajafikia ya Ruby hivyo, Hajafikia level za kusema Vanessa is nothing talent wise
Bora hata useme wewee lol.
 
Back
Top Bottom