Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Natafsiri: Je, Abby Chams ni Vee Money (Vanessa Mdee) ajaye?
Tunakumbuka Vanessa wakati anaanza muziki, alikuwa anajitafuta sana hadi akajipata.
Aliingia kwenye game na uzungu mwingi (no pun intended) lakini ikawa ngumu kutoboa. Akajaribu kuchanganya na kuipata ladha ya muziki wa nyumbani. Soko likamuelewa. Yaliyofuata ni historia.
Njia ile ile aliyopita Vanessa Mdee, ndiyo hii hii naiona anapita Abby Chams. Namuona anajitafuta, atajipata tu.
Abby alianza na Gospel, japo ni muimbaji mzuri na alizitendea haki, lakini mainstream haikumuelewa.
Sasa amegeukia Bongo Fleva lakini nae kama ilivyokuwa kwa Vee, ameanza na uzungu mwingi. Atakaa sawa tu [emoji28]
Namtakia kila la heri. Naona ufanano mwingi katika njia zake na za Vee. Na kwa waliopenda muziki mzuri na swags za Vee Money, nina uhakika watazipata kwa Abby Chams. Tuombe uzima tu.
Vee alitukosea kuacha muziki angali bado tunamuhitaji. Kama Abby Chams ni rebirth au reincarnation ya Vee, basi na iwe hivyo!