Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama

Ndg Bulembo Airfryer umekimbia kujibu hoja, njoo ujifunze kwa kuanzia hapo!.
 
Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari, Mpina alisema kitendo hicho cha Waziri Makamba ni sawa na uhujumu uchumi, akivitaka vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kwa madai kuwa ni kuwaumiza wananchi.
Kwahiyo mwananchi wa kawaida asiye na chama akiyasema haya atakuwa ametenda kosa na atatakiwa kushitakiwa? Iwapi freedom of speech?
 
Ni vile tu hawawezi kurusu usajili wa chama kipya cha siasa ambacho kitakuwa na masalia ya wale walioaminiwa kwenye system ya JPM, na sasa wameenguliwa.

Mambo yangekuwa ni moto sana kuelekea 2025.
Unity Party
 
Bulembo tena
 
Hoja ya msingi umeiacha mkuu,anzisha threats yako,
 
Mpina hakujifunza kwa yaliyomkuta Jobo Mnazaleti na yule katibu mkuu ikulu aliyedumu kwa muda mfupi ever.

Anashika sharubu za Mama...hapo ndipo atajua wanawake wana sharubu ama hawana.
Wapumbavu kumbe bado mpo?, mpina ni munger,wewe ulitaka afanyaje?,akae kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…