Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kipindi kile dikteta anajiamulia mambo anavyotaka hukuwahi kulalamika?!Makamba anakosea mambo mengi tu.
Mfano swala la kuipa tenda kampuni ya uingereza kuishauri serikali kuhusiana na maswala ya gesi
Wakati tayari tuna taasisi yenye majukumu hayo PURA.
Huyu mtu anajiamulia tu mambo na kutumia fedha zetu vibaya na hakuna wa kumfanya lolote.
Nchi yao hii na Chama ni mali yao.
Bulembo kiboko yake ni Zitto Kabwe!
Yaani Mkwewe?Bulembo kiboko yake ni Zitto Kabwe!
Bulembo anatetea ufisadi
Hawawezi kukubali hicho chama kisajiriwe.Tuombe kheri InshAllah
Bulembo hana mvuto tenaKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.
Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri huo katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu shutuma zilizotolewa na Mpina hivi majuzi baada ya Waziri wa Nishati January Makamba kuondoa tozo ya tsh. 100 kwenye lita ya mafuta.
Bw. Bulembo pia amesema hatua hiyo ya Mpina ni sawa na kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa alikwishalizungumzia suala hilo kwa kulitolea ufafanuzi.
Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari, Mpina alisema kitendo hicho cha Waziri Makamba ni sawa na uhujumu uchumi, akivitaka vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kwa madai kuwa ni kuwaumiza wananchi.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.
Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri huo katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu shutuma zilizotolewa na Mpina hivi majuzi baada ya Waziri wa Nishati January Makamba kuondoa tozo ya tsh. 100 kwenye lita ya mafuta.
Bw. Bulembo pia amesema hatua hiyo ya Mpina ni sawa na kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa alikwishalizungumzia suala hilo kwa kulitolea ufafanuzi.
Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari, Mpina alisema kitendo hicho cha Waziri Makamba ni sawa na uhujumu uchumi, akivitaka vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kwa madai kuwa ni kuwaumiza wananchi.
Ulisikia Kauli yake Siku amechaguliwa? ALisema CCM haiagizwi na Serikali, CCM inaiagiza serikali mambo ya Kufanya; Kwa Mantiki hiyo yuko right kusema makamba aguswesasa huyu makamu wa mwenyekiti anaingilia mpaka utendaji wa serikali hata Bunge hii nchi vipi haina watu?
Hizo kura zenu mtazila Kama ni Mali Sana, aliyekuambia kura ndio zinahamua Nani hawe kiongozi,unajidanganya,au wakati wa uongozi wa msukuma mwenzenu magufuli ukufuatilia chaguzi zote zilivyokuwa zinaendeshwa chini yake!!Wasukuma ndio wengi na Wana kura turufu 2025, Hiiiiiiiiiiiiiiiii wabheja saaaana.
😁😁😁😁Bulembo kiboko yake ni Zitto Kabwe!
Mzee Kama huyu alitakiwa apumzike sio kuanza kutafuta huruma za watawala mwanae ameshakua DC akae atulie.watu wanajenga Future zao kisiasa.[emoji3] it’s very unfortunate hawa wazee wanashindwa kusoma alama za nyakati…
Huyu mhuni sijui kafika darasa la ngapi maana mtindo wake wa kufikiri anaujua mwenyewe.Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.