TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Umeamua kujibu mwenyewe ahahahaaa, sasa ndg Bulembo unasema nikae kimya hebu kabla sijakaa kimya nikuulize.Bulembo ni mtu anayeheshimika ndani ya ccm
Hujui chochote kuhusu ccm, Kaa kimya
Wakati ule unashinda pale nje kibarazani musoma mjini kwenye ile nyumba iliyokuwa karibu na majaruba ya mpunga, ulikuwa na idea yoyote ya siasa za ccm?.
Wakati huo kama wewe ni mwanaccm damu usikopi, nani alikuwa mshauri wa ccm kata ya nyasho hapo hapo alikuwa kwenye balaza la ushauri la wazee?.
Niishie hapo kabla sijakaa kimya.