Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.

Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri huo katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu shutuma zilizotolewa na Mpina hivi majuzi baada ya Waziri wa Nishati January Makamba kuondoa tozo ya tsh. 100 kwenye lita ya mafuta.

Bw. Bulembo pia amesema hatua hiyo ya Mpina ni sawa na kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa alikwishalizungumzia suala hilo kwa kulitolea ufafanuzi.

Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari, Mpina alisema kitendo hicho cha Waziri Makamba ni sawa na uhujumu uchumi, akivitaka vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kwa madai kuwa ni kuwaumiza wananchi.
Luhaga Mpina ni miongoni mwa wanaCCM wamimi wasioheshimu mamlaka......
 
Hayatuhusu
 
Magufuli alikua ni mkosi na laana kwa nchi yetu tusifanye makosa tena

Huyu jamaa alikua ni mkosi kabisa na laana kwa nchi yetu sijui ilikuaje yule mwehu na kichaa akawa rais! Hakua na faida yoyote zaidi ya kuharibu hili taifa

Apumzike anapostahili asante mungu na corona kwa kutuondolea ile laana
 
Makamba anakosea mambo mengi tu.

Mfano swala la kuipa tenda kampuni ya uingereza kuishauri serikali kuhusiana na maswala ya gesi

Wakati tayari tuna taasisi yenye majukumu hayo PURA.

Huyu mtu anajiamulia tu mambo na kutumia fedha zetu vibaya na hakuna wa kumfanya lolote.

Nchi yao hii na Chama ni mali yao.
Bro Biashara sio maandalizi
Umetoka uko kijjn kwenu ukafaulu ukasoma ka digrii kwa mafuta na ges afu ukaajiliwa pura eti nawe ukashauri taifa

Mambo mengine wacha wataalamu waje atusaidie tukiadapt tutaendelea
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.

Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri huo katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu shutuma zilizotolewa na Mpina hivi majuzi baada ya Waziri wa Nishati January Makamba kuondoa tozo ya tsh. 100 kwenye lita ya mafuta.

Bw. Bulembo pia amesema hatua hiyo ya Mpina ni sawa na kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa alikwishalizungumzia suala hilo kwa kulitolea ufafanuzi.

Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari, Mpina alisema kitendo hicho cha Waziri Makamba ni sawa na uhujumu uchumi, akivitaka vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kwa madai kuwa ni kuwaumiza wananchi.
Ujenzi wa jamii ya Yes Men wasiokosoa!
 
As far as I know CCM; huyu tayari yupo kwenye mode ya killing himself softly ..

Kashaisha...ni suala.la.muda tu...wala hakuna haja ya CCM kutoa tamko.kufanya hivyo ni kumpa mileage za bure ambazo hanazo.
Nani
 
Back
Top Bottom