Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembo akiwa Bungeni leo amesema kwamba hakuna Mpinzani wa kushindana na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu 2020 hivyo pesa ambazo zingetumika kwenye uchaguzi basi zielekezwe kwenye mapambano dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19.
NUKUU
Mkakati mzuri nilionao kukabiliana na Corona ni vyama vya upinzani wamruhusu Rais Magufuli apite bila kupingwa ili fedha za uchaguzi zitumike kukabiliana na virusi hivi. Sioni Mgombea wa Upinzani anayeweza kumshinda Rais Magufuli.