Abdallah Bulembo: Njia ya kukabiliana na Corona nchini ni Rais Magufuli kupita bila kupingwa 2020

Abdallah Bulembo: Njia ya kukabiliana na Corona nchini ni Rais Magufuli kupita bila kupingwa 2020

Hivi huyu si ndio alikua kampeni meneja wa huyo aliyemtaja 2015?Anajua hali halisi na uwezo wa mteja wake baada ya kufanya rejea kwenye chaguzi zilizopita zilizomuhusisha huyo anayetaka apite bila kupingwa.
Hapa nimepata matokeo ya uchaguzi wa rais 2015
 
Bulembo ni mbunge wa kuteuliwa wa Rais na alikua kampeni Manager wa Magu ile 2015,sasa unategemea ataongea nini tena.

Magu akipita bila kupingwa maana yake Bulembo ana uhakika wa ulaji kiroho safiii.
 
Hayo ni mawazo yangu, na wewe una haki ya kuwa na mawazo yako. Shida iko wapi wewe kamanda uchwara wa ufipa?
Hongera kwa kuiona na kuielewa hoja yangu! Badilika Sasa ili ujitofautishe na wao na sio unaunga hoja kimasihara!
 
Huo ni ushahidi kuwa Magufuli hawezi ushindani wa kisiasa, ndio maana wapambe wake wanamkwepesha na ushindani.
Nina uhakika hakuna Kiongozi mwenye hofu kubwa kama Jiwe. Ametawaliwa na hofu kuliko hata wale Wateule wake. Fikiria raia na mwanachama wa kawaida tu kama Membe alivyomnyima amani.

Hawa wapambe wake wanachokifanya ni kujaribu tu kumfariji angalau kumpunguzia hofu. Matamshi yake yaliyopelekea watu kupotezwa na wengine kushambuliwa kwa risasi pamoja na matendo yake ndiyo yaliyompelekea kutawaliwa na hofu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom