Lugumgya
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 629
- 2,053
Ukishakuwa Mbunge wa Viti Maalumu, japo zinaitwa nafasi za Rais, lakini ni special seats tu.
Nasema ukishakuwa wa kiti Maalumu Kama cha Dullah Makabila lazima, upandishe sauti unapoimba Wimbo wa kujipendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema ukishakuwa wa kiti Maalumu Kama cha Dullah Makabila lazima, upandishe sauti unapoimba Wimbo wa kujipendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app