kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,629
- 1,845
Good criticalOna ulivyo zwazwa! Haya tuseme rais anapita bila kupingwa, he, madiwani na wabunge wenyewe hawatapigiwa kura? Au wao wabunge hawatatengewa fedha?
Unawezaje kupunguza pesa kwenye uchaguzi unawajumuisha wabunge, madiwani na rais Kisha ukafanikisha? Jifunze I kurudia kusoma ili muuone ujinga wa wabunge wenu huko ccm!