Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Kumtimua Membe,kuwaondoa wapinzani uchaguzi serikali za mitaa nkweka ushahidi hapa.. vinginevyo huo ni uropokaji kwa habari za kusikia vijiweni..
Kumtimua Membe,kuwaondoa wapinzani uchaguzi serikali za mitaa nkweka ushahidi hapa.. vinginevyo huo ni uropokaji kwa habari za kusikia vijiweni..
Nina uhakika utakuja kufuta hii commentRejea issue ya Mrema kufunga ndoa na CCM na jinsi ndoa Ile ilivyompoteza! Hakuna mahali mbatia anashinda kiti chochote iwe Cha ubunge au udiwani!
Iko wapi CUF ya lipumba? CCM chatu mla watu akikumeza sahau kutapikwa!Nina uhakika utakuja kufuta hii comment
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Et tu Paskali?!Naunga mkono hoja
P
Jibu swali mtaweka mgombea gani ambae anaweza kufurukuta kupambana na JPM? Au sababu mmeshajua hamna mtu wa kumuweka na mmekukabali kushindwa ndio mnaleta visingizio!Bila kutumia mbinu hizi chafu huyo mtu wenu mapema tu anapigwa chiniView attachment 1412205
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale washibao kwa regime iliyopo huimba pambio ya uchaguz hauna umuhimu..ili regime iendelee kuwadhibisha..!kama tukisema wanaipenda nchi hii kwa kuhubiri kula yao twajidanganya wenyewe ....!!!Sio mkakati ni jambo lililowazi kabisa. Kuna chama gani ambacho kinamgombea ambae anaweza akasimama na JPM? Tusipoteze rasimali fedha kwa mambo ambayo hayana tija.
Jibu swali mtaweka mgombea gani ambae anaweza kufurukuta kupambana na JPM? Au sababu mmeshajua hamna mtu wa kumuweka na mmekukabali kushindwa ndio mnaleta visingizio!
Kwa Afrika inalegeza Ubongo.Shibe mwanamalevya.
Mimi naona tunadi Mijidege za uchaguzi zisipotosha.Sio mkakati ni jambo lililowazi kabisa. Kuna chama gani ambacho kinamgombea ambae anaweza akasimama na JPM? Tusipoteze rasimali fedha kwa mambo ambayo hayana tija.
Corana haifiki October itakuwa ni historia hivo wasitumie Corona kuficha kushindwa kwaoKabla hatujamlaumu sana kila mmoja wetu aseme tusacrifice wapi ili upatikane mzigo wa kutufaa katika mapambano ya corona na effects zote za kiuchumi zinazoambatana na huu ugonjwa.
Yeye kwa akili yake ndogo ameona kwenye uchaguzi ndo panafaa kuchukua kwa kuangalia aina ya ushindani unaotegemewa kuwepo come october lakini pia zoezi lenyewe la uchaguzi linaweza kuhesabika kama chanzo kikubwa cha kuenea kwa huu ugonjwa kama utaendelea kuwepo.
Binafsi nimeanza kusoma kwa kumuona mpuuzi ila ukiifikiria kiundani sana ni kama hatuna namna zaidi ya kutakiwa kuchagua options ambazo ni mbaya zote!
Sent using Jamii Forums mobile app