FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
We umeona anatania hapo? Haupo sawa kichwaniKama itawezekana, hizi jokes tungeweka kando kipindi hiki ambacho hali si nzuri. Ni ushauri tu.
We umeona anatania hapo? Haupo sawa kichwaniKama itawezekana, hizi jokes tungeweka kando kipindi hiki ambacho hali si nzuri. Ni ushauri tu.
Automatically na wabunge na madiwani wanaendelea hao hao, kwani hizo akili zako unazitumia kufanya nn?Ona ulivyo zwazwa! Haya tuseme rais anapita bila kupingwa, he, madiwani na wabunge wenyewe hawatapigiwa kura? Au wao wabunge hawatatengewa fedha?
Unawezaje kupunguza pesa kwenye uchaguzi unawajumuisha wabunge, madiwani na rais Kisha ukafanikisha? Jifunze I kurudia kusoma ili muuone ujinga wa wabunge wenu huko CCM!
It seems common sense is not so common with youNilidhani Bulembo ana common sense, kumbe akili yake yote ameiacha Lumumba.
Lazima awape moyo kidogo..Spika alishasema uchaguzi upo pale pale
Hao nao wapite bila kupingwa, na viti vilivyowazi vitabaki wazi hadi Corona idhibitiwe, akilini zenu huwa mnaziachaga wapi kwani?Huwa najiuliza kwamba kwani Uchaguzi mkuu ni wa Rais tu? Sawa tufanye Rais apite bila kupingwa.
Vipi kuhusu Wabunge na madiwani? Mbona haongelei? Nao wapite bila kupingwa? Vipi wale waliotangaza kutogombea tena na wale walioacha majimbo yao na kuunga mkono juhudi? Uchaguzi usifanyike.
Hua nawaza mtu anayeshauri kua tusifanye Uchaguzi Rais apite bila kupigwa, Je anawaza kwa kutumia makalio(matako) au anawaza kwa kutumia nin? Kichwa chake mbona kikubwa vile anakitumia kwa kaz gani?
Ili Corona ishike mkondo upi?
Rais kwenye nchi zetu hizi nchi zetu ni dili kubwa sana kwa wapambe kutokana na Teuzi zenye maslahi makubwa kuliko hata maslahi ya wataalam na wanazuoni wote.Huwa najiuliza kwamba kwani Uchaguzi mkuu ni wa Rais tu? Sawa tufanye Rais apite bila kupingwa.
Vipi kuhusu Wabunge na madiwani? Mbona haongelei? Nao wapite bila kupingwa? Vipi wale waliotangaza kutogombea tena na wale walioacha majimbo yao na kuunga mkono juhudi? Uchaguzi usifanyike.
Hua nawaza mtu anayeshauri kua tusifanye Uchaguzi Rais apite bila kupigwa, Je anawaza kwa kutumia makalio(matako) au anawaza kwa kutumia nin? Kichwa chake mbona kikubwa vile anakitumia kwa kaz gani?
Kama anao uwezo wa kushinda kwann msiuuonyeshe kwa kumpa haki ya kushinda na si kubebwa.Zipo njia nyingi za kupiga kura si lzm kwa box.Had October Corona haitokuwepo hofu ya nn kutumia Corona ili kuhalalisha kushindwa.Raha ya ushindi ni kushindanishwa na sio kubebwaNi bora huyu ameongea ukweli bila kuwa mnafiki, hivi ni kwanini tusikubali tu kuwa by hook or by crook Rais Magufuli atashinda tu? Sasa hiyo pesa si bora tu itumike kupambana na Corona? Tuseme tu ukweli jamani.., namuunga mkono 100%, maana mikusanyiko ya kampeni na kupiga kura ni hatari sana!
Maslai asipofanya hivo atakufa njaaHuyu mzee anamawazo ya hatari! Hatari uwa simuelewi kabisa,au ndo mambo yakuteuliwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteWe umeona anatania hapo? Haupo sawa kichwani
Katiba inasemaje.Mshindi aogopi kushindanishwaWatanzania asilimia 95% wanajua na kuamini kuwa Raisi John Pombe Magufuli ndie atakae kuwa Raisi 2020.Kwnaini kweli kama tuna uzalendo na nchi yetu tusiokoe haya maigizo ya uchaguzi
NUKUU
Mkakati mzuri nilionao kukabiliana na Corona ni vyama vya upinzani wamruhusu Rais Magufuli apite bila kupingwa ili fedha za uchaguzi zitumike kukabiliana na virusi hivi. Sioni Mgombea wa Upinzani anayeweza kumshinda Rais Magufuli.