Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

wanatia aibu sana
yani kweli wanasemaga Tff ni simba
naona wachambuzi wote simba
kweli utopwinyo tunawalaza na viatu [emoji2][emoji2][emoji2] ivi tukichukua ubingwa si watakufa
Nina wasiwasi waliwalipa wakata umeme ili mechi iahirishwe😂😂😂
 
Umesahau na Takwimu hii pia Mwaka 1941 Sunderland ( Simba) ilichukua kombe la afrika kwa nchi zilizokuwa chini ya utawala wa kikoloni. kombe hili lina hadhi sawa na klabu bingwa Afrika ya sasa
Yani mko bize na mnahaha sana kuhalalisha ROBO zenu nne..!!!
 
Hongera kwa kunyanyua ndoo 1974
IMG_20230429_200940.jpg
IMG_20230429_110601.jpg
 
Mwaka 1889 Simba iliifunga Zamalek na kubeba taji la Caf ambalo Kwa sasa ndo club bingwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni porojo, kwani ni lini Yanga ilifika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika?
 
ALAFU KIBADENI NDIO MCHEZAJI WA MWISHO KUPIGA HAT TRICK.

NDIO MCHEZAJI MWENYE RECORD HADI LEO YA KUPIGA MA UTOPOLO GOLI 3.

ALIWAFUNGA YANGA MAGOLI MA TATU 3.
 
Back
Top Bottom