kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
mpuuze huyo cha kwanza kaniambia mimi siyo mwana simba halafu ananiambia eti nitulize mshono....hii kwa sasa ni mojawapo ya habari inayodiscussiwa sana kwenye pages na blogs za soccer south africa wanaaita team yetu covid 19 team na wanasisitiza banda kachezea simba miaka 3 kwa hiyo anaijua vizuri yaani hata kumtumia barua ya mwanasheria wa simba huyo abdi banda inashindikana?
Halafu we jamaa nilitaka kukupotezea ila naona nikwambie kitu kidogo,
Umeshawahi kuishi South Africa ukaona jinsi Kaizer Chiefs na Orlando Pirates wanavyotupiana madai kama ya huyo former player wa Simba baada ya team mojawapo kufungwa kwenye Derby? (Hata kama team imefungwa kihalali kabisa)
Huyo anayesema hayo ni Simba's former player,hivyo basi madai yake hayana uzito wowote kwa sababu hata hapo kwao wapo wachezaji wanaozungumzia vibaya teams zao za awali,(bitter ex?)
So hakuna kitu cha ajabu hapo kiasi cha wewe kutaka uongozi wa Simba ujisafishe,wewe umepotosha hiyo article kwa makusudi kabisa.
Kwa kukusaidia zaidi,Chiefs ya msimu huu ni MBOVU,wakikutana na Simba wanakwenda na maji,hata wao wenyewe wanajua!!
BTW confusing referees ndio inamaanisha kuhonga refa?